Unai ni mwalimu mzuri, mwalimu unaweza kumuona hata kama ana wachezaji wabovu vipi. Kama ulitazama game yetu na West ham unaweza kuona tofauti ya mwalimu na mhamasishaji.
Kweli Ibilisi wekundu mmechoka,yaani Rochdale inawatoa jasho kiasi hiki? Hadi penalty timu ya division 2 huko,kazi mnayo na mjiandae kipsychologia mtanuna sana
Chong kalegea kweli yani hahaha hii timu ishajifia kama half time hatuna goli hata la offside tunafanya nini kwenye EPL shwain timu.
Masai tuachie timu yetu asee huna mpya kazi kuvaa suti tu kwa raha gani na litimu bovu bora avae track.