D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
hata huyo pirlo alifanikiwa kisoka kwa sababu alilindwa na wababe kila sehemu aliyocheza.Wachezaji laini hivyo kumleta epl ni betting ya bwege
Hahahah mm.nilijua zile hasira tu, ndio maana nikisika mtu eti kahama timu, siaminihamna kitu kigumu kama kuhama timu jana nimeludi geto nichome jezi nikashindwa saizi nimeuchapa uzi hapa og unamelemeta tu
Na wameshauza hisa £400M, hata dola 1 hawainvest kwenye club, jamaa Ni kupe kweli kweli.Manchester United announce club-record revenue for 2018/19
Club expect profits to fall considerably after missing out on Champions League qualificationwww.skysports.com
Mashabiki msitegemee mnachokifikiria.
hamna kitu kigumu kama kuhama timu jana nimeludi geto nichome jezi nikashindwa saizi nimeuchapa uzi hapa og unamelemeta tu
Spurs Pochetino kocha bora sana changamoto anayopambana nayo ni usajiliOoh Spurs out! I wish something too.
Poch kachoka sasa!
Man u bana sijui tunakwama wapi mbona timu zingine zikituma scouts hazitangazi.Wanatuzuga mashabikiJana Manchester United wametuma scout kumuangalia huyu kiungo wa Bresca ya Italy wakati wakicheza na Juventus
Poch ni kocha mzuri na anaweza akajenga timu ikaimarika akiwa na support ya maana, ila alishaweka waz hatakua na furaha kama msimu huu hatabeba chcht, muujiza wa UCL sidhan kama utarud tena, saiv ataegemea angalau FA ambay nayo si arihis abebe kwahy hatabeba chcht msimu huu hvyo claims zake ni kama atasepa hivSpurs Pochetino kocha bora sana changamoto anayopambana nayo ni usajili
Forwards pale mbele walio katika kiwango ni Kane na Son tu, Dele ameflop Lamela Garasa Moura kiwango chake sio consistent
Msimu uliopita hakusajili kabisa then dirisha lilofungwa hajaletewa Forward hata mmoja
hata huyo pirlo alifanikiwa kisoka kwa sababu alilindwa na wababe kila sehemu aliyocheza.
ac milan = gattuso na ambrosini
juventus = vidal na marchisio
italy = gattuso na de rossi
huyo mtoto ukimleta kwetu anakuja kulindwa na mpuuzi scott mctominay pamoja na yule mjinga perreira.
Acha kabisaHarakati za kutafuta Top Six
pochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.Forwards pale mbele walio katika kiwango ni Kane na Son tu, Dele ameflop Lamela Garasa Moura kiwango chake sio consistent
pochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?
makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
Huyu ole alimuokota kusikojulikana, tukimtaka atakuja, Ila mpaka Woodward ampitishe Kama ana impact nje ya uwanja.Kwa kufunga dogo anaweza kufunga nimemwangalia kwenye highlights za mechi nyingi chance mbili moja lazima afunge.
Anaweza kutumia miguu yote japo kulia yuko vizuri zaidi.
Area management (positioning)uwanjani anaonekana anaweza kama baba yake mdogo Ole
Aerial balls anacheza pia japo siyo clinical sana ila anaweza kuwa na impact zaid kuliko washambuliaji tulionao kwenye aerial balls.
Mobility yake uwanjani yuko ok hapa nazingatia assessment yangu kwenye game na Genk.
Ball control yuko vizuri kwa level ya striker anaweza kufanya dribbling na kupiga pia.
Sijamuangalia vizuri kwenye long range shots nadhani hii nikutokana na uchezaji wake wa kucheza sana kwenye final third.
Anticipation yake ni nzuri na unafunga sana kwenye situation za one against one or one against two.
Passing Accuracy sina doubt he is good
Conversion rate ni kubwa sana kuna mechi ya Norway vs Honduras Alitupia goli 9 peke yake kwenye game moja.
Mpaka sasa kacheza mechi 9 katupia goli 17 hat trick katupia mara .
Physical presence yake uwanjani ni nzuri compared to our Martial n Rashford.
Sema pale Salzburg kuna mchawi wa kikorea huenda ndiyo game maker wa Halland.
Huyu ole alimuokota kusikojulikana, tukimtaka atakuja, Ila mpaka Woodward ampitishe Kama ana impact nje ya uwanja.
Last season haukugongwa nyundo tatu wewe!!!!mbona mnapenda kujisahaulisha?wewe jiandae maana msimu huu hadi norwich wanaombea wakutane na nyinyi mapemaNa ubovu tulionao huhuu na wachezaji wengine hawatakuwepo kama pogba,matial,rashford lakini chakushangaza arsenal tutawafunga
Mapenzi ndio yanakuja kuwaponzapochettino anampenda dele alli kama ole na rashford.
kama dele ameflop kwa nini hampi nafsi Giovani Lo Celso?
makocha wa ulaya wanaongozwa na mapenzi ya kijinga baadhi ya nyakati.
muangalie sarri masigara huna la kumwambia juu ya gonzalo higuain, msimu huu ronaldo huyu mwenye miaka 34 anachezeshwa winga ili higuain acheze striker,
Msimu huu tu?!!Haha kusema kweli Dele Ali hata mimi namkubali kama Poch sema msimu huu hayupo vizuri sana