Huwezi mtegemea huyu mtoto akufikishe sehemu
Kuna makosa OGS anayoyafanya, mojawapo ni kuwategemea sana hawa watoto (Tony Martial+Rashy). Na ikamfanya auze Lukaku bila kuleta mbadala
Kosa lingine ni team selection, how in the world can Matic play ahead of Fred. Only OGS can answer this
Kosa lingine ni kushindwa kuleta creative midfielders pale United
Haya mambo ilibidi ayafanye summer iliyopita, dirisha linalofuata tuangalie namba nyingine kama left back na holding midfielders
Naona Ed leo ametoa taarifa ya United kuingiza mapato yaliyovunja record, £627.1m. Huko Glazers walipo watakuwa meno yote nje.
Harakati za kutafuta Top Six [emoji23][emoji23][emoji23]Hali mbaya
Ooh Spurs out! I wish something too.
Poch kachoka sasa!
Ligi 2..Matuta yamemkimbiza
Maajabu hayataisha jamaa anachokifanya ni kuhamisha goli hapo maana priority yetu sie ni makombe na sio faida
Atachukuliwa na timu nying! Tutashuhudia hapa
Jana Manchester United wametuma scout kumuangalia huyu kiungo wa Bresca ya Italy wakati wakicheza na Juventus
Usaliti upiNa habari nilizozipata hapa manchester ni kwamba wakimfukuza ole watakua wamefanya usaliti mkubwa kwaiyo hilo swala halitawezekana
the only thing manchester united is going to celebrate this season is their players happybrithday
nimemuona luka modric mdogo aliye regea kama mchuzi wa bamia.Jana Manchester United wametuma scout kumuangalia huyu kiungo wa Bresca ya Italy wakati wakicheza na Juventus
Wewe si kuna Uzi umetangaza umehama man u na kuhamia man city?Na ubovu tulionao huhuu na wachezaji wengine hawatakuwepo kama pogba,matial,rashford lakini chakushangaza arsenal tutawafunga
Timu ni kama kabila tu ngumu kuhamaWewe si kuna Uzi umetangaza umehama man u na kuhamia man city?
Au sio wewe
hamna kitu kigumu kama kuhama timu jana nimeludi geto nichome jezi nikashindwa saizi nimeuchapa uzi hapa og unamelemeta tuWewe si kuna Uzi umetangaza umehama man u na kuhamia man city?
Au sio wewe
nimemuona luka modric mdogo aliye regea kama mchuzi wa bamia.