Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ninachowapenda Real Madrid; hawana uchafu wa kujenga timu. Wao wanataka mafanikio at any cost.

Kocha akizingua wanamfungashia virago vyake analetwa mwingine, anapewa mpunga asajili anaowataka mwisho wa msimu anaweka kombe la UCL mezani.

Sisi tunajenga timu kama tupo nje ya ligi.
 
Unaona timu ya kuzidi point 45 hapo??
Point 45 maana yake timu itakuwa kwenye regelation zone

Man u January watarudi sokon tu, shida ipo je wataziba maeneo yenye uhitaji au ndio Yale Yale yakutibu kichwa badala ya goti,kumbuka man u unayoiona imeshatumia £700m+ , na summer kama sikosei kwa EPL wao ndio wameongoza kwa kuspend , Kwahiyo tatizo utagundua hata sio kocha ,tatizo ni Bodi nzima haina washauri wa kisoka.

Jana nimeona Evra anaomba kazi ya DOF man u kijanja .
 
Unaona timu ya kuzidi point 45 hapo??
Huyu Ole naye mwehu sana,kama alikataa kusajili wachezaji wazuri kwa kigezo cha kutaka wapigania beji ya klabu,si angesajili mashabiki tu maana hakuna mtu mwenye mapenzi na klabu kama shabiki.
Yaani ligi tumeisubiri miezi kibao kwa hamu lakin ndani ya mechi 6 tu tunaona kama week ends zinawahi sana.
 
Labda dogo Greenwood mumpe nafasi kwenye hiyo namba
 
Natamani sana ligi iishe hata wiki ijayo ndy iwe mech ya mwsho..sijui kuhusu mabadiliko ila bhana ligi iishe kombe abebe liverpool au man city!
 
Hapo ni Verane Na Modric pekee Zidane aliwatumia lakini nimekuelewa chief
 
Unarudi sokoni kocha Ole??

Dirisha lilifungwa wakati wachezaji wazuri wapo, hilo dirisha dogo ndo utawapata hao viwango?

Alikuwa wapi kabla ya dirisha halijafungwa?

Management iliridhia hiko kikosi kiingie kwenye michuano.
 
Aston Villa ndo amespend kuliko timu zote EPL akifuatiwa na Manchester zote mbili.
 
Hapo ndo kuna tatizo kubwa sana.

Dunia ya leo wapigania beji ni pochi yako tu.

Ole ameleta siasa za kipumbavu tu, hakuna kocha pale.

Rashford au Lingard ndo wa kupigania beji?

Angalia wachezaji wa Fifa Pro XI. Man Utd hakuna hata mmoja.

Kweli tumefika hii standard kweli? Timu kubwa kwenye ulimwengu wa soka hakuna mchezaji kwenye timu ya Fifa?

Hii inaonesha wazi United ni mid table team.

Kuendekeza wachezaji wa kingereza upuuzi mtupu. Unamuacha Koulibaly unaleta Maguire. Huu ni ukabila. Unamuacha BF kisa una Lingard. How stupid has Man Utd management become?

Glazers na Woodward wawajibike. This is totally unacceptable.

Inabidi mashabiki tuwe na sauti kwenye management. Atleast 40%. Hii itasaidia kuwafanya wamiliki wawe na akili wafanye maamuzi sahihi.

Mwaka wa pili unahangaika na DoF, cha ajabu utashangaa analetwa mpuuzi wa kingereza kama sio Darren Fletcher basi Rio. Ataleta takataka za kingereza tupu ambao hadi kufunga magoli wafundishwe.

Tunatakiwa tufungwe mechi 10 mfululizo za EPL tu. Management wapate akili.
 
Jaman twendeni taratibu , tunatengeneza timu, tunaomba muwe waelewa.....!!!
 
Manyumbu mlituaminisha kwamba
Di Maria
Depay
Falcao
Lukaku
Sanchez
Zaha
Wote hão ni wabovu sasa hv mmehamia kwa dogo rashid et naye mbovu embu mleten pale anfield achukue mbavu ya kulia huku kama hamjamtamani.

Ushauri timu lenu ni bovu cjui ni laana au Ndo kupoteana Lakin timu ina matatizo makubwa ambayo hayaanzii kwa wachezaji só mtatukana wachezaji wote Lakin mtachezea vichapo hevi tu mpaka mbadilishe management na madirector wao.


Ni hayo tu. Sana sana nishukuru kwa kufanya weekend zangu ziwe murua. Coz liver ikishinda napata furaha ila nyumbu likipigwa mm nahisigi kama niko sayar nyingine


Mlitutesa Sana kipindi cha yule mzee mchawi fergie. Shubhaamit. Tunahesabu miaka tu tuko wa saba Huu bado timu halielewek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…