Ndugu yangu wagonga nyundo sio astana.......akipanga kikosi icho jiandae kwa kupata aibu kubwaMy Starting Lineup vs Westham Jumapili
De Gea
Bissaka Lindelof Maguire Young
Fred McTominay
Gomez
Greenwood Rashford James
√Rashford perfomance yake imekuwa tiatia maji as usual na hatuna mtu mwingine..
√Tunahitaji kufanya sajili za nguvu kadhaa huku hawa madogo tukiendelea kuwapa nafasi kimtindo ili tuwe na skeleton nzuri..
So fanya recommendation zako tuone mkuu..Ndugu yangu wagonga nyundo sio astana.......akipanga kikosi icho jiandae kwa kupata aibu kubwa
martial na pogba bado ni majeruhi?So fanya recommendation zako tuone mkuu..
Wazee wa Rashford mpo??
Leo jirani kampiga mtu goli 8.
Nyie wenye rashford, goli moja tu matatizo.
Bado wanafundishana kufunga magoli Carrington.
Ole yupo comfortable kabisa.
Kila siku kazi yake ni kumlinda Rashford, utasikia tunafanya kazi na anajituma sana,atakuwa bora.😂 |
Bado aisee,sitomuhitaji pale OT..nahisi kuna kitu anamiss.
Spurs wamekuwa na kikosi kizuri kwelikweli lakini hawana kitu chochote so far..na hata UCL walipita robo na nusu fainali kibahati sana na sio ubora.
Wazee wa Rashford mpo??
Leo jirani kampiga mtu goli 8.
Nyie wenye rashford, goli moja tu matatizo.
Bado wanafundishana kufunga magoli Carrington.
Ole yupo comfortable kabisa.
So fanya recommendation zako tuone mkuu..
Kuna takataka nyingine Lingard inatetewa.
Kila siku kazi yake ni kumlinda Rashford, utasikia tunafanya kazi na anajituma sana,atakuwa bora.
Mechi ya 6 hiyo. Angalia Goal Difference.Mkuu hao jamaa si walicheza na norwich ukifuatilia rekod pep anawafunga sana watfod hiz 6 wamekula sana tu aguero kakosa sana goli ina maana mfumo wa city ungekuwa wa shoo ya mtu mmoja bas ageuro angefunga goli moja tu
Romelu Lukaku.Majirani Lukaku katupia goli la pili,AC Milan 0-2 Inter 77.
Tottenham Kunatatizo.Mechi ya 6 hiyo. Angalia Goal Difference.View attachment 1213143
Ndio pamoja na Shaw..martial na pogba bado ni majeruhi?
Pogba kocha alisema hawezi kucheza gemu ya keshoHiyo mechi gomes haiwez kabisa yaani watachukua mpira wanavyotaka kesho pogba anacheza