Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halland ni clinical finisher ila huo mtiti huyo dogo wa kikorea siyo wa kitoto ni kama yule dogo wa Tottenham
 
Duh jitahidi kuandika vizuri usomeke vizuri mkuu.

Huu uandiahi wako kama unachat na kidemu cha form one haifai kuandika kwa hadhira iliyopo kwenye uzi huu.

Just an innocent reminder
Apo mkuu nme kuelew coz nkiwaambia um wanabsha me mwenyew cm laumu rashford kwa umr wake c o Ronaldo uy au mess nahc Nampa mcm uu ujao anawez improve
 
Mpaka HT bila bila, magoli ya wazi 5 badly missed. Tunahali mbaya kuliko team zote EPL. Magoli anayokosa Rashford yote Lukaku angefunga.
 
Apo mkuu nme kuelew coz nkiwaambia um wanabsha me mwenyew cm laumu rashford kwa umr wake c o Ronaldo uy au mess nahc Nampa mcm uu ujao anawez improve
huu uandishi kijana,umetia fora kwa leo.
Tukirudi kwenye point,rash bado chipukizi possible atakua vizuri zaidi future
 
Timu anayochezea bao chache kwenye ligi yao kushinda ni tatu.....sikushangaa kabisa genk kula sita wale jamaa ni hatari mno
Nakumbuka nusu fainali walicheza na lyon aiseee ile game waliomba mpira uishe
Halland ni clinical finisher ila huo mtiti huyo dogo wa kikorea siyo wa kitoto ni kama yule dogo wa Tottenham
 
Hii game nawaonea huruma tu chong na greenwood hawana nguvu kabisaaaaaaaa ila gomez balaaaaaaaaaa
 
Hawa jamaa watatupiga counter kwa namna inavyoelekea. Haya mashambulizi mawili ni makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…