Sijawahi mchukia mtu.Punguza chuki dhidi ya Rashford.
Kacheza kama main striker mechi Mbili tuu.
Bado ana umri mdogo( 21). Anachoitaji ni good coaching.
Tayari kashaonesha anaweza ni swala la improvement tuu.
Sterling mwenyew alkua garas t nyuma uko saiz anafanyaj
Sterling hakuwahi kuwa garasa mkuu..Akiwa Liverpool alikuwa anakimbiza kinoma,,sema tu ule ulikuwa utotoSterling mwenyew alkua garas t nyuma uko saiz anafanyaj
Msimu huu ni main striker. Mwenzake ana goli 7 tayari. Yeye anajiangusha kupata penalt. Hovyo sana.
You sound like a mid table team fan.
Man Utd ni club kubwa sana.
Kuwa na striker anayekupa magoli 10 tena ya penalti ni wa kutupwa huko.
Angalia striking force ya Liverpool, Barca, Madrid, Juventus, PSG.
Halafu anagalia hiyo takataka unayoitetea eti sio mbaya sana.
Rashford ni mchezaji wa hovyo, sema Ole hajielewi na kuwaendekeza Waingereza.
😂mkuu unataka ukaombe kazi man U?
Leo UEFA mnacheza na team gani?
Sterling mwenyew alkua garas t nyuma uko saiz anafanyaj
wapi nimesema ivyo?Kwamba ratiba huwa inapatikana hapa ya uefa?
wapi nimesema ivyo?
mkuu unataka ukaombe kazi man U?
Winga sio lazima afunge ndio awe mchezaji mzuri. Sterling alikuwa anacheza na Suarez na sturidge vizuri tu, Tena akiwa na umri mdogo Kama miaka 18 tu.Rekod zake izo Apo nambien akiwa liver asha wah fksha goal 10 uyo Sterling af akiw na man city kaanz kuwak mcim wa 2017/2018View attachment 1210117
Sasa hivi angeuzwa £100m kama saneHapa umebugi! Sterling hakuwahi kuwa Garasa alipokuwa Liverpool! Alikuwa Winger moja matata sana.
Hata kuuzwa kwake aliuzwa kwa £50m kwa kipindi hicho! Kwa Soko la leo kwa uwezo uleule aliokuwa nao basi angeliuzwa zaidi ya £80m.
Mchezaji aliyeuzwa £50m misimu 5 iliyopita hawezi kuwa Garasa Mkuu.
Bali Liverpool ya kipindi hicho ndiyo iliyomrudisha Nyuma.
Ahsante tuko pamoja.Rashford akifikisha goli zaidi ya 20 msimu huu naacha kushabikia soka. Na humu siingii tena.
CR7 akiwa na umri huu tayari alikuwa anakimbiza... Rashid mpka afikishe 25/26 ndo atafunga goli tatu/nne..Punguza chuki dhidi ya Rashford.
Kacheza kama main striker mechi Mbili tuu.
Bado ana umri mdogo( 21). Anachoitaji ni good coaching.
Tayari kashaonesha anaweza ni swala la improvement tuu.
Hivi kati ya Tammy na Rashy nani mkubwa?CR7 akiwa na umri huu tayari alikuwa anakimbiza... Rashid mpka afikishe 25/26 ndo atafunga goli tatu/nne..
Moja ya wachezaji tutakaojutia kuwapata na haikuwa ngumu kuwapata ni Joao Felix. Kwa huyo dogo, hakuna cha Mbape, Mesi, Ronaldo wala Neyma et al. AM watamuuza kwa hela ndefu sana. Dogo yupo smart balaah