Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Result kama hizi ndio Raha ya EPL Ligi sio Rahisi, ukitizama La Liga ndio mpira ila Real Madrid tu Na Barca zilizobaki inategemea na mpira wa gonga inaisha Game 0-0 Serie A ndio Boring zile draw zao maybe sababu kuna Ma kipa wazuri Italy, bora Bundesliga. Timu za nje utazipenda kwenye CL tu maybe sababu natizama EPL sana.
 
Refa leo Canteen kwao ataulizwa na Ma refa wenzake ni kwanini kavunja sheria za ma Refa hajatoa Penalt kwa Shinji Kagawa United player? Msamaha ataopewa Ofisi ya ma Refa ni kutompa Yellow Shinji Kagawa.
 
Acha tu mambo yalipowachachia wakaanza kupiga mbizi..
 
Hodi hodi BJ upo? Vipi Eqlllpyz atatoka lini hospitali?

Hii saa mbovu nini?

Jamani huyu katoka wapi tena ... ...

Kila mechi mnacheza vizuri tu J*** Is .... ataokoa jahazi
Khe khe khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
...Wamesepa wote lol! kama matokeo yatabaki hivi nitampitishia BJ chupa ya wine ili ajiliwaze najua saa hizi yuko hoi bin taabani
BAK nina la kusema basi..haya nasubiria hiyo wine ili niitwange kupata usingizi, utamkuta Masanilo hapa..
Poleni na nyie leo!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndio EPL hiyo siku nyingine marefs wanaogopa kuwabeba hasa ukitilia maanani ni wiki jana tu mlibebwa kule L'pool na kuzua kasheshe ya hali ya juu.

BAK nina la kusema basi..haya nasubiria hiyo wine ili niitwange kupata usingizi, utamkuta Masanilo hapa..
Poleni na nyie leo!!
 
Na kwenu pia hoi leo, khe khe..kweli ADUI mwombee NJAA! Bado tupo strong Manure!!

Nasikia kabla ya mechi ulikuwa unawanga na nahau kibao za kutusanifu .... .... .... yule mwizi leo alimwanga njuluku kama mwehu lakini usijali bado hawajamaliza kurudisha magoli tutawazibua pale kwenye cowshed yao.

Na kwenu pia hoi leo, khe khe..kweli ADUI mwombee NJAA! Bado tupo strong Manure!!

Mko strong huh!!! BJ jiangalia kwanza we mwenyewe kabla hujaangalia wenzio!!!! Hesabu mmeshafungwa goli ngapi katika hizi mechi 6, then kumbukia zile hesabu za primari za cross multiplication uone after 32 remaining games mtakua mmeshapigwa ngapi!!!! Hahahahahahaaaaa...... mnachonga sana, The good thing is ulitulia tulipofungwa.... was wtn 4 u!!!!!!
 
Habari za asubuhi bandugu??!
Did u know, "CHELSEA was the only London club that didnt lose this wikend"?
 
Habari za asubuhi bandugu??!
Did u know, "CHELSEA was the only London club that didnt lose this wikend"?

So! Whats your point mate? EPL kushinda ni lazima uwe na point angalau zaidi ya 80 au 90. Total points available 114. Je mna point ngapi so far?

BTW naona Fungie kachukia .... ..... ...... ....

Kisa hawa watoto hapa chini .... ....

hili saa nimegongwa nini silioni kama linakwenda ndivyo dakika nne ndio zimeisha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…