Tueleze timu kubwa inavyombeba ,Hata Messi sio bora kwa sababu anabebwa na Barcelona akiwa Argentina wanafungwa??KDB anabebwa na team kwa kiwango kikubwa , work rate yake ni kubwa ila hawezi kumfikia Pogba
Kumbuka KDB alitokea Chelsea ivyo alijengwa vizuri akiwa Chelsea..Tueleze timu kubwa inavyombeba ,Hata Messi sio bora kwa sababu anabebwa na Barcelona akiwa Argentina wanafungwa??
KDB alikuwa player of the season Bundesliga kabla hajasajiliwa na Man City na tangu amekuja EPL ameendelea ku-improve jinsi miaka inavyokwenda
Kevin DeBruyne kama unamuangalia vizuri basi utakubaliana nami kuwa dribbling yake ya kubabaisha ingawa off course ni mchezaji anaejitumaWachezaji 2 tu ulimwenguni ambao ni irreplacable, na wanafahamika
Akina Ndidi wame replace watu huko Leicester, akina Matuidi wamereplace watu huko Juve n.k.
Pogba anaweza kuwa replaced na viungo zaidi ya 10 ulimwenguni, na kiungo kikaimarika zaidi
Kumfananisha De Bruyne na Pogba, ni kumtukana huyo Mbelgiji
Kevin DeBruyne kama unamuangalia vizuri basi utakubaliana nami kuwa dribbling yake ya kubabaisha ingawa off course ni mchezaji anaejituma
Mkuu kipa anategemea defence , defence ikiwa bora akli yake inakuwa active Sana kufanya clearance, lakn kama kila mda anakuwa overwhelming ni ngumu et,.Mimi Manchester united kuna wakati nawaonea wivu Everton, Leicester na vilabu vingine kwa makipa fighters sana.
De Gea ana mchango mkubwa Man U ila naona kiwango kinapungua. Mipira ya chini haidaki vizuri. Lile goli la Messi asee! Goli la pili la Palace. Hapana bora tulete kipa mpya mdogo fighters kama Pickford, Yule wa Leicester.
Ukweli ni kuwa Pickford huwa ananikosha aje tumpe na upiga penati maana ile penati ENGLAND vs Nimesahau UEFA national league haidakiki.
Anyway ni maoni yangu, wakuu chambua tujue kipa gani anakuja kuwa Ukuta wa Zege.
Hahahahaaaaaa mbona mlimuuza sasaKumbuka KDB alitokea Chelsea ivyo alijengwa vizuri akiwa Chelsea..
#KTBFFH
De brune anamzidi pogba huo ndo ukweli, jamaa ni fighter Sana, anafunga ana assist, na anakaba kinoma, pogba ana kipaji ila Hana jitihada, goigoi Sana, kiuchezaji bado pogba ana akili za kitoto, De brune ni mapafu ya mbwa jamaa ni non stop na ananyooka fito hatariiiWapo wanaomkaribia kama Kelvin De Bruyne na Christian Eriksen
usikute unaangaliaga mpira kwenye TV ya chogo.Kevin DeBruyne kama unamuangalia vizuri basi utakubaliana nami kuwa dribbling yake ya kubabaisha ingawa off course ni mchezaji anaejituma
Pogba hamfikii hata mo Banka unamlinganisha na machine KDB?KDB anabebwa na team kwa kiwango kikubwa , work rate yake ni kubwa ila hawezi kumfikia Pogba
Tueleze timu kubwa inavyombeba ,Hata Messi sio bora kwa sababu anabebwa na Barcelona akiwa Argentina wanafungwa??
KDB alikuwa player of the season Bundesliga kabla hajasajiliwa na Man City na tangu amekuja EPL ameendelea ku-improve jinsi miaka inavyokwenda
De brune anamzidi pogba huo ndo ukweli, jamaa ni fighter Sana, anafunga ana assist, na anakaba kinoma, pogba ana kipaji ila Hana jitihada, goigoi Sana, kiuchezaji bado pogba ana akili za kitoto, De brune ni mapafu ya mbwa jamaa ni non stop na ananyooka fito hatariii
halafu soko la jezi la United halipo Europe lipo Asia, mimi na wewe tutavaa jezi za mchezaji mwenye kiwango ila wao kuvaa jezi yenye jina la mtu fulani ni fahari kwao......Asia na mpira wapi na wapi???Hivi bado jezi yake inanunuliwa kwa wingi? Basi wazungu nao ni machizi. Uwezo haonyeshi,anaicost timu,watu washaanza kumchukia sasa jezi hizo anauzaje ktk kiwango cha kuwa icon ya timu?
Hahahah et mo bankaPogba hamfikii hata mo Banka unamlinganisha na machine KDB?
mbona ipo wazi hiyo ...wale walioanza kuipenda United miaka ya 2006 ndo watashangaa katika hilo"Manchester United are going to be behind Manchester City, Liverpool, Chelsea and Tottenham." Haya maneno yamesemwa na Paul Scholes pale Skysports.
Paul Scholes writes off Manchester United's title chances for two years
Scholes: Weve seen over and over again how many mistakes experienced players are making. Its difficult for young players to come into a team like thatwww.skysports.com
Manchester ilikuwaje bila De gea?What if Manchester without De Gea?
H h h mpiga penalty ap umeua mkuu
yule dogo aliye kwa mkopo Sheffied United kwa mkopo.Mimi Manchester united kuna wakati nawaonea wivu Everton, Leicester na vilabu vingine kwa makipa fighters sana.
De Gea ana mchango mkubwa Man U ila naona kiwango kinapungua. Mipira ya chini haidaki vizuri. Lile goli la Messi asee! Goli la pili la Palace. Hapana bora tulete kipa mpya mdogo fighters kama Pickford, Yule wa Leicester.
Ukweli ni kuwa Pickford huwa ananikosha aje tumpe na upiga penati maana ile penati ENGLAND vs Nimesahau UEFA national league haidakiki.
Anyway ni maoni yangu, wakuu chambua tujue kipa gani anakuja kuwa Ukuta wa Zege.
na ubata ni kwamba timu haina uwezo wa kutoa Β£70+ kwa ajili ya kipaToka msimu uliopita kiwango cha De Gea kimepungua ukichangia na ubovu wa timu yetu ndiyo balaam.
Jordan Pickford ni mzuri ila siyo level ya Degea.
Casper schmeichel ni mzuri ila siyo kiwango cha Degea.
Golikipa aliyepo sokoni uwezo wa kubattle na Degea ni Jan Oblack wa Atletico Madrid.
yule dogo aliye kwa mkopo Sheffied United kwa mkopo.
kwa kuwa tunajenga timu basi arudi nyumbani kwa ajili ya ujenzi wa timu
Aisee ila siwashangai pogba alishawahi ata kuongoza kwa assist duniani?Hahaha siyo kwamba simkubali KDB ila hawezi kumgusa Pogba hata kidogo anamkaribia tu.
Kitu pekee kdb anamzidi Pogba ni commitment uwanjani