chelsea walimtegemea sana hazard ndio maana wanateseka baada ya kuondoka.
Siku ukijua kufikiria nje ya box utanielewa system yangu ya ujengaji wa hoja (kwanini uone hiyo hoja iliyotolewa ni relevant kwa United lakini isiwe relevant kwa timu nyingine? think outside the box brother)Tatizo lako wewe huwezagi kujenga hoja bila kutafuta Excuse ya sapoti kwa timu nyingine,Itetee Manchester United bila mgongo wa timu nyingine.
ikiwa timu imekosa kiunganishi kwenye safu ya kiungo na ushambuliaji unafikiri safu ya ulinzi itafanya maajabu yoyote?Hazard alikuwa beki? Maana matatizo ya Chelsea ni beki
Damn it..BUNDI WA INJURY AMEANZA KUWATEMBELEA
*Aaron Wan-Bissaka has been withdrawn from the England squad due to a back injury.*
Hapana bwana, Tammy hawezi kuwa bora zaidi ya Rashford au MartialRashford, Martial na Lingard all are poor than Tammy Abraham.
Ikiwezekana wampe na kitambaa cha unahodha tu
Hiki kitambaa naona huwa wanagawa kulingana na ukubwa wa mchezaji katika timu,nikimaanisha ule muda ameitumikia timu. Kama sivyo basi mtu anayefaa kuwa nahodha pale MUFC ni Harry Maguire pekee, huyu ana uwezo hata wa kumnyang'anya mtu mpira na kumpa mwingine apige penalty (Kumbuka kisanga cha Drogba na Lampard wote kukomalia kupiga penalty,Terry alivyowatuliza) |
Damn it..
Nadhani wana-fake hawa,si unajua kuna mechi dhidi ya Leicester? |
Mkuu kule sio kama bongo
Nadhani wana-fake hawa,si unajua kuna mechi dhidi ya Leicester?
*Peter Drury* "You look at Marcus Rashford, he has the speed and the shooting style of Cristiano Ronaldo but the brains of Christian Benteke "Ubongo wa benteke....
Ile quote naiomba ilitumwa humu alizungumza peter drury kama sijakosea
Hapana msifanye hivyo mtatusababishia matatizo Sisi mashabiki wa timu yetu pendwa.
Juzi baada ya game na Soton kuna mzee niliona anahojiwa analia kabisa. United ni lazima imalize ligi sehemu mbaya sana ili hawa matajiri waogope. Fikiria,waliona kabisa Pogba moyo wake haupo tena United, wakapuuzia wamemshikilia tu kama wanamlazimisha hivi. Tazama vituko anavyofanya uwanjani, na hata kumuweka bench kocha haweze maana atampanga nani sasa badala yake? Wachezaji wengi sana pale United hawapo pale kiakili. Kama ningekuwa Ole ningeanza kumpumzisha De Gea nimpe nafasi Romero. Huyu nae ni kama hana tena moyo wa kuwa pale. |
Ubongo wa benteke....
Ile quote naiomba ilitumwa humu alizungumza peter drury kama sijakosea
| |
*Peter Drury* "You look at Marcus Rashford, he has the speed and the shooting style of Cristiano Ronaldo but the brains of Christian Benteke "
Kuna nyingine kama hii, dhidi ya Leicester alikuwa anakimbia pembeni kabisa,ana nafasi ya kumpa pasi Mkhitaryan alikuwa peke yake kabisa. Ujinga aliofanya sasa
Rashford hadi leo bado ana matatizo,hajui wapi anaweza kujaribu na wapi anaweza kutoa pasi mwenzake afunge. Hiki ni kisanga kingine.
sivyo kabisa nilivyokuwa nikimchukulia, akiondoka ashley young itapendeza zaidi kama atakuwa nahodha
Angalia ball control yake, pace yake kama ufungaji wake haujathibitika beyond doubtsHapana bwana, Tammy hawezi kuwa bora zaidi ya Rashford au Martial
Hizo goli alizoshinda huko Championship alifunga viClub ambavyo havina beki wakati huku EPL timu bora ni zaidi ya 13 na zina beki kweli, South Hampton, Newcastle, Crystal Palace hazipo top ten ila zina beki
Kutambia Championship sio kutambia EPL bana
Maguire akaja kuchomoa dakika za jioni mechi ikaisha sare
Hiyohiyo. Dogo mzito sana kufanya maamuzi au sijui ndio ubinafsi na nahisi Ole hamwambii ukweli. |
ni kweli kabisa maana Chelesa atakuwa wa 19 na United 20
Tunaweza kusema mpira unadunda ila kwa United kuna tatizo kubwa sana hasa kwa wachezaji.
Chelsea wana wachezaji ambao mawazo yao yote yapo Chelsea na wanapambana. Tazama viungo wao watatu. Kante-Jorginho- Kovacic. Hawa akili zao zipo Chelsea na wanapambana.
Hebu njoo United uone kisanga kilichopo upande wa viungo.
Pogba kivuli chake kipo United lakini mwili na akili vipo nje ya united.
Sijajua Chelsea ukiacha kuuza Hazard kama wana tatizo kuubwa sana. Ni Lampard atulie tu,Chelsea inaweza kumaliza juu ya United.
Digne wakati anatoka Barca aliikataa Man Utd sio kwamba hawakumuonaujio wa Lindélof ulituonesha udhaifu wa Smalling, ujio wa Magiure umetuonesha udhaifu wa Lindelof same to Bissaka kwa Shaw.....hivi hawa scouts wa United hamuoni Digne wa Everton??
tunaoteseka ni sisi mashabiki