Ni kweli anachelewa sana kufanya kufanya subDogo anajitahidi sana,ni mzuri ila sio wa kumuingiza muda 'maji yamekorogeka' kama Ole anataka kumpa nafasi amuanzishe, Rashford acheze pembeni.
Ila ndio hivyo,sio mtu wa kumtegemea akabadili matokeo kama ilivyo kwa majirani zetu. Ole sub zake ni kama anafanyaga kukamilisha ratiba tu.
Mfumo anaoutumia unahitaji.kuwa na wachezaji.wenye quality kubwa sana ambao yeye hana.
Anapaswa kuwa.na mentality ya kupata matokeo na siyo kujenga style of play tu ambayo haimsaidii chochote kwenye kupata.matokeo.
Hapo kwenye right track ndipo paliponifanya nikomee njiani kuendelea kusoma ujumbe na kubaki najichekea mwenyewe tu
Kiukweli OGS kuna kitu nakiona anakifanya pale United hasa hasa kwenye style of playing
Ila bado sijamuelewa kwenye baadhi ya maamuzi yake, mfano kumuondoa Lukaku bila kuwa na mpango wa replacement, kusema kwamba hela ilikuwepo lakini sokoni hakukuwa na wachezaji sahihi wa kusajili na kwenye suala la favouratism kwa wachezaji wa kingereza
Kuna mambo anapaswa ajitathmini. Lakini, kuna kitu naona anakijenga embu tumpe muda waungwana
Ole anafurahisha sana, hiyo statement utafikiri ana kikosi kukuubwa.
Huko kwa majirani zetu, mambo yakiwa magumu unaona Bernardo Silva anapasha. Sisi mambo magumu unaona kinda Greenwood anapasha.
Sidhani mkuuKwa mpira tunaocheza na matokeo tunayopata anaweza asimalize huu msimu
To Bookmark directly.Unless akaribie kuishusha timu daraja jambo ambalo haliwezi kutokea
umeanza kujipa MATUMAINI sioKwa namna tunavyocheza tunaweza kuwa bora tukicheza na vigogo kuliko tunavocheza na walalahoi
Timu zinazocheza mpira, zina nafasi ya kuchezea kichapo kuliko timu zinapaki basi ili kupata matokeo
Timu yetu inapata shida kui break down defence iliyo compact, lakini ina enjoy kucheza na timu zinazofunguka
Sidhani mkuu
Nadhani huyu jamaa atapewa muda zaidi ya makocha wote waliopita baada ya SAF
Hiyo style ya kufukuza fukuza imeshafeli
Lakini pia nikimcheki jamaa anaonekana hana wasiwasi, atakuwa amehakikishiwa kupewa muda ajenge timu
Unless akaribie kuishusha timu daraja jambo ambalo haliwezi kutokea
One of the toughest thing players had at utd in AF era was Babu mkuda/conservative na mkali kweli kweli regardless of players' superstarness..... OGS anawanyenyekea wachezaji wampende atakipata anachokitaka.He claims himself the team is rebuilt for each match but actually we are sighed every match.
Most of time he expresses optimism as his main shadow to rest on.
As it seeems, this will be a bad season since sir Alex
If this kind of performance will still happen, soon Sucking is around the corner regarding the coming fixture is so tighten
Sure..One the toughest thing players at utd had in AF era was Babu mkuda/conservative na mkali kweli kweli regardless of players' superstarness..... OGS anawanyenyekea wachezaji wampende atakipata anachokitaka.
Mkuu sina mpango kukujibu na wewe usiwe na mpango wa kuni quoteumeanza kujipa MATUMAINI sio
Hili suala kwa kiasi kikubwa litajibiwa na mudaGlazers first priority ni fedha, msimu huu kama United anakosa Champions League fedha za Adidas zinapungua
Moyes alipewa 7 years contract na licha ya kukingiwa kifua na SAF but matokeo yalivyokuwa mabovu hakumaliza hata msimu mmoja
OGS ni baby face so hata akikasirika/akiwa na wasiwasi sura yake haibadiliki yuko hivyo
OGS amefanya risk kubwa sana kuanza season akiwa na kikosi kidogo na ukizingatia tactical hayuko vizuri
Glazers first priority ni fedha, msimu huu kama United anakosa Champions League fedha za Adidas zinapungua
Moyes alipewa 7 years contract na licha ya kukingiwa kifua na SAF but matokeo yalivyokuwa mabovu hakumaliza hata msimu mmoja
OGS ni baby face so hata akikasirika/akiwa na wasiwasi sura yake haibadiliki yuko hivyo
OGS amefanya risk kubwa sana kuanza season akiwa na kikosi kidogo na ukizingatia tactical hayuko vizuri
Iii Tim bana inakera saiz nko lkizo ntarud wa 12 kuangalia game zao
Yule Rais wao naye nilimdharau sana, eti kama Maquire ameuzwa £80m basi Koullibaly atakuwa na thamani ya £150m au zaidiKolidou mwenye thaman ya 200+ kam rais wa napol anavoropoka kachomoa betry uko dakka za mwisho na kuipa juve ushind kama zouma t awana utofaut
Mkuu kweli hawa madogo wamekukera, mpaka usahau ku bold
Sasa mimi nimedraw na Sheffield wewe utamfunga?Hahahah Ollachuga Oc hataki kukubali msimu huu nafas yao ni ya 10-15
Sasa mkuu Zouma akitulia vizuri Magwaya mbona atasugua tu benchi.
Mkuu kuna taarifa zimenifikia hapa. Inasemekana yule beki wetu maridadi mwenye kiwango cha kumuweka Harry bench amemtandika Kepa booonge la goli.
Zouma moja
Maguire hajapata kitu.