Wanamuacha striker ambaye ana uhakika wa kufika goal hata 20(bila penalty) kwa msimuππ unabakiwa na mtu hata goal 15 (+ penalty)hawezi fikisha.
Rashford sio mshambuliaji wa kutegemea mkuu,mimi nilikuwa nadhani labda Ole ameuza Lukaku bila kusajili akimtegemea hata Sanchez, kumbe tegemeo lake ni Martial na Rashford πππ
Huyo Rashford msimu huu anaweza kuzidiwa magoli hata na dogo James, Rashford amekuzwa sana inafika muda anajiona kama Ronaldo vile. Ni mchezaji wa kawaida sana. Hana uhakika wa namba katika timu nyingi sana katika EPL. Ila kinachombaba ni uingereza wake.
Mkuu kweli hawa madogo wamekukera, mpaka usahau ku bold
Rashford sio mshambuliaji wa kutegemea mkuu,mimi nilikuwa nadhani labda Ole ameuza Lukaku bila kusajili akimtegemea hata Sanchez, kumbe tegemeo lake ni Martial na Rashford
Huyo Rashford msimu huu anaweza kuzidiwa magoli hata na dogo James, Rashford amekuzwa sana inafika muda anajiona kama Ronaldo vile. Ni mchezaji wa kawaida sana. Hana uhakika wa namba katika timu nyingi sana katika EPL. Ila kinachombaba ni uingereza wake.
Basi usichokijua , astonvilla kasajiri wachezaji 12 kuliko hao Norwich na Shefflied , tena ni wachezaji wazuri tu ,Aston Villa si naye kapanda daraja(tena kwa kupitia playoff alipomchapa Lampard na Derby County yake?). Kwa kumbukumbu zangu, Norwich City aliongoza akafuatiwa na Sheffield United. Sasa kama kawapiga namba moja na namba Mbili wa championship msimu uliopita, atadhindwaje kumpiga aliyetinga ligi kuu kwa mlango wa playoff? Kumbuka hata namba tatu Aston Villa hakuichukua, ilibebwa na Leeds United.
Yan hawa kwa mwenendo huu hata points 50 hawatafika msimu huuMpaka mei 2020 ni wiki ngapi tuwapigie kabsa hesabu hawa wenzetu?
Walianza na kelele sana...
Mkuu kweli hawa madogo wamekukera, mpaka usahau ku bold
Madogo na mwalimu wao ni vilaza sana. |
Wanamuacha striker ambaye ana uhakika wa kufika goal hata 20(bila penalty) kwa msimuππ unabakiwa na mtu hata goal 15 (+ penalty)hawezi fikisha.
Acha sindano iwaingie
Tena pamoja na kwamba ana first touch mboovu. Ole ameyumba sana kwakweli. Sijui kama na Fred yupo kwenye mipango yake au anataka kumtoa ndio tujue MUFC imemalizika kabisa. |
Hizi mech 2 mfululizo anazocheza Chelsea na hawa waliopanda daraja zisikudanganyeni mkaona mna timu,Aston Villa si naye kapanda daraja(tena kwa kupitia playoff alipomchapa Lampard na Derby County yake?). Kwa kumbukumbu zangu, Norwich City aliongoza akafuatiwa na Sheffield United. Sasa kama kawapiga namba moja na namba Mbili wa championship msimu uliopita, atadhindwaje kumpiga aliyetinga ligi kuu kwa mlango wa playoff? Kumbuka hata namba tatu Aston Villa hakuichukua, ilibebwa na Leeds United.
mechi 16 anapata ushindi mech 3 tu.
Waaaiiiiiiiii Mou arudishiwe tu kibarua chake.
Kuna mtu nilimsikia akisema tusishangae Ole akatolewa kafara na Jose akarudishiwa mikoba. Kuna mtu alisema humu Ole sio kocha ni mhamasishaji tu,ilikuwa mapema sana sikumuelewa. Ila alivyoanza kujikombakomba kwa Pogba, ooh nataka kujenga timu kumzunguka Paul ndio nikajua hapa hamna kitu. |
Tumeshacheza mechi 4 kati ya 38 tayari Man City wameshatuzidi point 5 ,Kama Liverpool akishinda atakuwa ametuzidi pointi 7,Imagine baada ya mechi 38 tutakuwa tumezidiwa pointi ngapi ?
He should be a man and resign.
Kuna mtu nilimsikia akisema tusishangae Ole akatolewa kafara na Jose akarudishiwa mikoba.
Kuna mtu alisema humu Ole sio kocha ni mhamasishaji tu,ilikuwa mapema sana sikumuelewa. Ila alivyoanza kujikombakomba kwa Pogba, ooh nataka kujenga timu kumzunguka Paul ndio nikajua hapa hamna kitu.
Ubingwa sio issue,timu 38 bingwa ni mmoja tu the problem is how we play & how our manager make mistake every weekKwani mnawaza ubingwamimi nazani saivi man u ni ishindanie tu proud ata ibaki Top 6.