Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuwe wakweli tuacheni ushabiki,hata kama hatuujui Moira,hivi ole anategemea nini kutoka kwa rashford?
Watakuja watu watakwambia ukimuangalia kwa jicho la 3 anaujua,sasa kila mchezaji wa man utd lazima tumuangalie kwa jicho la 3 tutambue kama anajua ama la wakati wapinzani kwa macho 2 tu unaona wanakusudia nini.
 
Lukaku ameuzwa apewe yeye nafasi.

Inasikitisha sana.
 
Amna team apa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yale yale ya season iliyo pita
 
Hivi Pogba anafanya makusudi au ndio kiwango chake?

Binafsi sijawahi kuamini kama Pogba ni mchezaji mzuuuri kama anavyopambwa na baadhi ya wapenda soka.
Pobga tulipigwa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…