Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
Nadhani jamaa anafanya kwa vitendo kuwa hataki kuwa hapa maana anafanya makusudi tu humu ndani.
Ukimuuza Pogba umekufa..hapo katikati, jamaa linajua sana kumiliki mpira na kupeleka timu mbele. Ukitaka kujua umuhimu wa Pogba angalia akipoteza mpira inavyokuwa hatari kweye lango letu. Hakuna mwingine wa ku-block. Ile mechi ya CP angalia alivyopoteza tukapigwa.Pogba auzwe dirisha la January. Moyo wake haupo tena Man u. Anacheza ili mradi dk zisonge
Not even basic... Very ordinaryRashford anajiona CR7.
Very basic player.
Anapoteza mipira mitatu kila baada ya dk 1Pogba wa Juventus si huyu tunaemuona.
Pogba anazingua kinoma anapoteza mipira sehemu hatari
kwa hiyo, chong amureplace perreira?
Ufaransa alikuwa anacheza deep lying playmaker sawa na nafasi anayochezeshwa Sasa Hivi na Ole.Washabiki msiokua na shukrani. Sijui unataka pogba awafanyie nn mkubali mchanga wake. Kila siku mnamlaumu tu. Hivi hamuoni nafasi Pogba anayopangwa saivi ni tofauti na aliyokua akicheza Juventus na Ufaransa. Sasa mtu anacheza deep midfield kazi yake kubwa ni kupeleka mashambulizi mbele kama long pass tunazoona anatoa na assists. Sasa ww shabiki umekaa kibanda umiza huko badala ya kureason kwamba Pogba anacheza nafasi ambayo sio yake unakimbilia kutoka lawama tu.
Kila siku Pogba Pogba anazingua hamchoki kumsema huyu mtu vibaya.
HahahahahahahahahhahahahahahahahahLindelof hajawahi kushinda mpira wa kichwa na sijawah kumuona ni bek sahihi wa hii timu
Well said. Ukiwa CB halafu huwezi kushinda Aerial duels ni majangaLindelof hajawahi kushinda mpira wa kichwa na sijawah kumuona ni bek sahihi wa hii timu
Hili lilikuwa ni kosa kubwa sana.Kitendo cha kumuuza Lukaku bila replacement kumewaaribu martial na rashidi. inabidi january kifanyike kitu
Hahahahaahahaahhahh!Lindelof hajawahi kushinda mpira wa kichwa na sijawah kumuona ni bek sahihi wa hii timu
Sasa unacomment NiniMe nilishaacha kulishabikia hili li timu.Pamoja na nyekundu man hapat goli huko