Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Walimuongeza mkataba Jones wakaacha kumuongeza Smalling ambaye hana injury record lakini pia ni experienced kuliko huyo Axel na Baily
Wote waliongezwa mkataba, Jones na Smalling Mkuu

Ila Jones alipaswa kuwa wa kwanza kutolewa kabla ya Smalling (Itakuwa wateja wamekosekana)

Nadhani Rojo haondoki sababu ya cover ya left back na kati sio mnajua Shaw ana miguu ya glass
 
Yeah hapo sawa
 
Ilikuwaje wakawapa mikataba wakati walikuwa wanampango wa kuwaondoa deadwoods ?
Possibly sababu kwa umri wao (Jones 27,Smalling 29) bado wana resale value

Kwa hiyo badala ya kuruhusu mikataba yao iishe na kisha kuondoka bure, waliona bora wawape mkataba ili wateja wakijitokeza United apate angalau kamchuzi

Timu kama Everton, Westham, Burnley zinaweza kutupa hata £10 au £15 million, sio mbaya (Ndio maana Glazers wanampenda Ed
)
 
Kuna timu ya epl inaweza kumnunua Phil Jones kweli ?
 
Iyo mistari yako ya mwisho soma tena halafu jiangalie kwenye kioo useme mimi ni stupid......
Kwa umri aliofikia unategemea atabadilika tena kweli?????
 
Usipate shida weka statistics mpaka sasa kacheza game ngapi ana assist ngapi goli kafunga ngapi
 
Wew na kaka mjiangalie kwenye kioo halafu mseme kimoyomoyo sie ni stupid....
 
Iyo mistari yako ya mwisho soma tena halafu jiangalie kwenye kioo useme mimi ni stupid......
Kwa umri aliofikia unategemea atabadilika tena kweli?????
Nilitaka nikupuuze kutokana majibu yako kuwa na matusi lakini ili kukusaidia wewe na wengine ngoja niseme yafuatayo

Lingard sio mbaya kiivyo kama unavyotaka kutuaminisha, Chief Mkwawa amekupa Stats zinazoonesha kuna msimu alikuwa na assist 7 na magoli ya kutosha tu

Lakini pia Chief ameonesha kwamba Lingard amekuwa ni mchezaji muhimu sana katika mechi kubwa na muhimu kwa kufunga na ku assist (Kuna usemi unasema kwamba Wembley ni dancing floor ya Lingard, na wote tunaua pale Wembley zinachezwa mechi kubwa kubwa tu)

Tu assume kiwango cha Lingard ni duni kwa sasa, je ni kweli hawezi kuwa bora kwa kuwa umri umepita? Si kweli.

Umewahi kusikia concept ya late developers? Unajua Drogba, Miroslav Klose, Luca Tony, Vardy n.k wametamba baada ya kufikisha miaka mingapi? Unajua Zidane hakuwika akiwa na miaka 21 au 22? Unafahamu Erick Cantona anayeitwa Mfalme na mashabiki wa United aliudhihirisha ufalme wake akiwa na umri gani?
 
Virgil Van Dijk was the most expensive defender last year and won the UEFA mens player of the year award!

Over to you Harry Maguire.

Liverpool bana mnamatatizo sana kwamba bale kwa ile pesa alitakiwa kushinda uchezaji bora wa dunia?
 
Wote waliongezwa mkataba, Jones na Smalling Mkuu

Ila Jones alipaswa kuwa wa kwanza kutolewa kabla ya Smalling (Itakuwa wateja wamekosekana)

Nadhani Rojo haondoki sababu ya cover ya left back na kati sio mnajua Shaw ana miguu ya glass

Mi mwenyewe naona kwa smalling kidogo tumekurupuka hii safar ilikuwa ya jones kwanza
 
Wew na kaka mjiangalie kwenye kioo halafu mseme kimoyomoyo sie ni stupid....
Hahahaha, inabidi nawe ujiangalie kwenye kioo na useme Mimi Ni stupid kwa kumdharau Lingard wakati makocha wanne wamemkubali.
 
Utetezi wa wanaomtetea Lingard ni kichekesho

Hata Ma Centerback ngumu sana kufikisha mwaka mzima bila kufunga goli la kichwa au Cross

Lingard magoli na assists amezidiwa hata na Viungo wakabaji, beki za Pembeni

Mi siwezi kutetea mzigo timu inataka magoli na ufundi eneo la mwisho la ufungahi wao wanatuambia ni hatar asipokuwa na mpira sasa anacheza mpira upi ikiwa hagusi mpira? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…