Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huna timu ya kupata hata droo kwa top 6

Nafas ya 10 yenyewe upambane
Nikimaliza namba 10 utamaliza 11. Nikimaliza nne utamaliza namba 5. Mark my words. Ngoja mechi za mchangani za Alhamis zianze ndo utajua.
 
Gimenez jose huyu bek namuelewa sana wa atletico madrid

Mourinho alimtaka kama kawaida ed woodward alizingua
 
Sema match itakua ngumu kidogo ila tunashinda kwa maana hata kwenye kubet amepewa odd 2 man u
 
Sema match itakua ngumu kidogo ila tunashinda kwa maana hata kwenye kubet amepewa odd 2 man u
Ni kweli match itakuwa ngumu sana mkuu..ila naona tukifanya mabadiliko itasaidia kdg..

1.Lingard akipigwa benchi au akaingia dkk 10 za mwisho

2.Nemanja matic na Fred wakarudi kumsaidia pogba kwenye midfield

3.Dan James akacheza LW..rashford akacheza striker(martial ameumia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…