Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Number 10 yako Jesse lingard alafu unategemea ushindi,huyu kocha mapenzi yake kwa waingereza yanamponza unamwachaje Mata nje.
Hiki kipigo kimeniuma lakini ni kizuri sana ili kumuamsha huyu mlevi wa waingereza Ole. Huwezi kumuweka Mata, Pereira bench ili Lingard atambe.

Kuna wachezaji tunawapotezea muda sio wa hadhi ya MUFC kwa sasa. Mfikirie Daniel James chini ya Pep atakuwa moto kiasi gani.
 
wewe jamaa haujielewi yaani guadiora anunue iyo takataka James si Bora amnunue James milina au iddy kipangwile
 
James pumbavu sana tulikuwa tunachota mafuta japo kwa tabu na taratibu si kaenda kuchomoa betri daaaa
 
Mmewashaaaaa!
 
Forward ambayo haiwezi kuscore goli zaidi ya kumi kwa msimu.

Najiuliza had muda huu huyu kocha alianzaje kumuacha lukaku toka siku ya kwanza anauzwa niliumia sana najua umuhimu nikiangalia mipira ya juu anavyocheza halafu uje na genge letu tofaut mipira ya juu imechezwa na pogba + maguire zile foward wala hazijagusa
 
Morinho aliposema hana timu bali ni "group of players" nusura wamtoe roho
Mou alikuwa sawa kabisa, hii ni timu ya biashara kwasasa.
Huwezi kuridhika na CAM ya Jesse kama sio timu biashara.

Penalty hakuna anayeweza kupiga, vivyo hivyo pia free kicks ndo hamna kabisa. Sasa hapa si mtihani huu?😂😂
 
James pumbavu sana tulikuwa tunachota mafuta japo kwa tabu na taratibu si kaenda kuchomoa betri daaaa
ukweli mana u hamna mchezaji hata mmoja ataekuja Simba na kupata namba hilo ni la ukweli kabisa mkuu

Simba ili jaribu kutunishina misuli na mme wenu Sevilla

fact lingard , rashiford, na martial.
lakini wote hawawezi kumfikia kiwango kagere

pogba anazidiwa kidogo na shibobu

MKUDE ni fundi kuliko matic na mictomnay

chama sijamuongelea wala kahata
 

Changiaga basi vitu vyenge akili unapo ni quote

Sasa kama pogba nae hawez kucheza simba basi simba hata real madrid ni timu ndogo kwake
 
Changiaga basi vitu vyenge akili unapo ni quote

Sasa kama pogba nae hawez kucheza simba basi simba hata real madrid ni timu ndogo kwake
Acha ushabiki lingard anamuaweka Nani benchi Simba na rashiford wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…