Hii sio draw kweli ? Maana hawa madogo wa London huwa wahuni sana hawa. [emoji87]
Lingard ni headless chicken. Mtu anakuja na kusema ni muhimu sabb ya mbio. [emoji23]
Kuna jamaa humu alikuwa anasema Ole sio kocha tulikuwa tunamshangaa ila alikuwa sahihi. |
Mnachekesha sana yaani mnaiota epl labda ya tandaleYani forwards ya Lingard na Rashford ikupe EPL.
Tunahitaji united imara kuliko wakati wowote, msipokaza baada ya game 10 itakuwa ni title race ya timu mbili. City na liverpool.
Goli nne dhidi ya Chelsea ziliwalevya hawa watoto.
Hivi Ole anategemea kabisa Lingard amlishe martial/Rashford kweli?[emoji23][emoji23]
Hatujacheza ovyo bhanaInakera sana.tunacheza hovyo wametukosa la pili.ila mpira tunamiliki
Yani magoli ya kona kwetu ni history.kona tunapata majibu 0
LingardiHapo nan wakupiga on target
Au wewe unaangalia mechi tofauti na ninayoangalia Mimi ?Tunacheza vizuri sema shida timu imerelax sana wanacheza kifather sana yani. Tunawachezaji wengi wenye pace lakini tuko slow sana kupeleka mashambulizi mapasi mengi hayana maana.
Hahaa.. Msipoangalia mtakula nyingi sama leoLeo hii timu inachocheza ajabu sana
Huna Clinical Finishers unategemea nini?Sosha ni van gaal wa pili possess nyingi matokeo sasa
Yupo Lingardi.Huna Clinical Finishers unategemea nini?