Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona Lingard anaanza tena.

Kweli kuna bahati na nyota katika mpira.

Ila kocha ndio fundi.

Hiyo ndiyo Principle ya Soccer! Lazima Katika timu kutakuwa na Mchezaji Mmoja anachezedhwa ambaye anawakera Mashabiki kuliko Shetani.

Hilo katika timu zote
 
Nakuomba kwa heshima na taadhima rekebisha hiyo kauli yako chafu dhidi Yangu ???...
 
Lingard anakipi cha kumzidi Perreira!!!
Perreira ndio Poul Scholse wa kizazi kipya.

Perreira ana ball control nzuri ana dribbling nzuri umiliki wake wa mpira ni mzuri amazidi kila kitu Lingard .
 
Kama ni kocha bora zaidi duniani, na kwa kuwa ubora hupimwa kwa mafanikio, basi anapaswa awe ameshikilia makombe yote kwa hatua ya vilabu
 
Perreira ataingia kipindi cha pili.pia usikariri kuwa kila mchezaji mzuri ataanza wengine watabackup kipindi cha pili.
Lingard anakipi cha kumzidi Perreira!!!
Perreira ndio Poul Scholse wa kizazi kipya.

Perreira ana ball control nzuri ana dribbling nzuri umiliki wake wa mpira ni mzuri amazidi kila kitu Lingard .
 
Uzawa utamuondoa sosha hii timu
Namuangalia james mechi ya nne hii hana impact yoyote zaidi ya lile goli la kubahatisha dhidi ya chelsea
Lingard anakipi cha kumzidi Perreira!!!
Perreira ndio Poul Scholse wa kizazi kipya.

Perreira ana ball control nzuri ana dribbling nzuri umiliki wake wa mpira ni mzuri amazidi kila kitu Lingard .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…