Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huku akifundisha timu ambazo hata yeye asingekuwepo Zina uwezo wa kuchukua ubingwa.

Mfano niambie Kuna wonders ngapi pep anaefanya kwa kuipa timu ubingwa ama ku improve kitu Fulani ambacho mwanzo watu waliona Kama Ni impossible. Mfano nakupa

-Sir Alex Ferguson aliipa ubingwa wa ulaya Aberdeen ambayo huko Scotland kwenyewe Ni kibonde, akizifunga timu Kama Madrid na Bayern.

-Lvg Akiipa Ajax ubingwa wa ulaya mara mbili na Vitoto vyake.
-Lvg huyo huyo akaondoa Ubabe wa kina Ajax, psv na Faynoord kwa kuipa ubingwa Az Alkmaar ambayo hata hawakuwa favourite.

-Mou kuipa Ubingwa wa ulaya Porto.
-Mou huyo huyo kuwapa ubingwa Chelsea (japo nae Hapa alispend vya kutosha)

-Ranieri na Leicester yake

-klop na ligi ya ujerumani alipokuwa Borussia

In short mkuu with evidence naweza kupa toka pep aje Man city hajawahi kupanga watoto/Team B asifungwe, Ashajaribu Sana Uefa ama Fa/Efl akipanga tu watoto anafungwa. Hii inaonesha kabisa philosophy zake zinahitaji world class players na sio kocha mzuri Kama watu wanavyomnadi.
 
Umeongea ukweli mchungu sana,
 
Wewe ni mgeni sana kwenye mpira ama unajifunza, nilichokupendea ni kuanza mechi ya manchester derby mapema...sijaangalia lini watacheza lakini wewe ni kitoshi.
Eti spurs aliyekubandua
Mr mimi ni bingwa wa UEFA na SUPERCUP mzee. Shabiki wa the Most English successful club. Huyo Lingard akifikisha hata goli nane msimu huu, najipiga ban. Huna timu ya kumsumbua city wewe si kwako wala kwake!
A
 
Most Successful English club ndio ipi hiyo, kadanganye wenzako huko kwenye nyuzi zenu

Halafu je unajua kipindi Liverpool ana makombe ya ligi kuu ya Uingereza, United alikuwa anayo 7 tuView attachment 1187572View attachment 1187573


LIVERPOOLMAN UNITED
Ligi 18
UCL 6
UEL 3
U Super Cup 4
Club World Cup 0
FA 7
Carabao 8
Ligi 20
UCL 3
UEL 1
U Super Cup 1
Club World Cup 1
FA 12
Carabao 5
JUMLA 46JUMLA 43
Ngao 16Ngao 21
Jumla ya Makombe + Ngao 62Jumla ya Makombe + Ngao 64

Nimeweka Mchanganuo Kama Nimekosea Naomba usinishambulie bali unisahihishe.

Nadhani aliposema kuwa 'Liverpool ni Most successful Club in England' itakuwa hajakosea interm of Makombe coz Liverpool ndiyo timu yenye Makombe mengi kuliko timu yoyote ya Kiengereza akiwa na Jumla ya Makombe 46 dhidi ya 43 ya Man United.

Lakini tukija mpaka kuhesabu Ngao za hisani basi Manchester United ndiyo timu yenye Trophies nyingi kuliko timu yoyote ya Kiengereza kwasababu inabebwa na Ngao 21.

Lakini kuhusu hayo Makombe 66 uliyoweka hapo Mkuu Naomba ufafanuzi ni Makombe gani labda? Au umechanganya na Yale muliyobeba preseason?

Google sometimes ina mislead

Natanguliza shukurani,

Yours sincerely,
King Ngwaba
 
Super cup na ngao ya Hisani si wale wale?
 
Unadhani hajui? Anajitoa ufahamu naona...
 
Wewe ni mgeni sana kwenye mpira ama unajifunza, nilichokupendea ni kuanza mechi ya manchester derby mapema...sijaangalia lini watacheza lakini wewe ni kitoshi.
A
Ndo hoja yako hiyo? Mimi nikajua utapinga kwamba Lingard hatafikisha hata goli nane kwa msimu wewe waanza matusi.
 
Pep anabebwa pesa tu. Nje na hapo ni Mwalimu wa kawaida kama Salum Mayanga tu
 

Pep ni best Chequebook manger in the World
 
Hakuna kocha alie level moja na PEP kwa sasa

Pep ni kocha ambae mkikutana kwenye ligi mechi moja lazima akufunge

Semeni kumfunga sio story ila iko hivyo kwamba timu zote za EPL lazima zitapokea kichapo kwa Pep msimu huu na ijayo sawa mshinde lakini game moja lazima awafunge humfungi Pep nje ndani moja lazima akufunge
 
Mjadala ufungwe..
 
Man City huyu alikuwa na uwezo wa kuchukua ubingwa kibabe kwa gap la Points 19 kama 2017/2018 bila ya Pep?

Na Pep anakuja kuvunja rekodi ya Ferguson ya treble ya EPL maana sioni wa kumzuia asichukue EPL ya 2019/2020

Siipendi Man City ila Pep ni kocha mwenye mafanikio na anaejua Ukocha pengine kuliko Kocha yeyote duniani

UEFA na Bayern alikuwa anaishia nusu fainali na ndio Club pekee aliyotoka baada ya kuachana na Barca

Mnapotaka kusema Ferguson ni bora kuliko Pep kwa kigezo cha Aberdeen mnasahau kwamba Ferguson amepoteza fainali mbili za UEFA zote na tena kwa mtu huyo huyo ambae ni Pep

Kama anabebwa na ubora wa Wachezaji mbona Valverde ameshindwa akiwa na Messi yule yule? Kuhusu kutumia pesa Man Utd muda wote ilikuwa na uwezo mkubwa kipesa kuliko Club zote ambazo Pep amefundisha na anafundisha sasa lipi ni lipi hapo?
 
Pep anabebwa pesa tu. Nje na hapo ni Mwalimu wa kawaida kama Salum Mayanga tu
Kama anabebwa na Pesa basi mnajitukana wenyewe sababu Club yenu ina pesa kuliko Barca, Bayern,Manchester city Club ambazo Pep amefundisha

Kwenye pesa mnanajifunga wenyewe sababu Club zote alizofundisha Pep zimezidiwa uwezo mbali tu na Manchester United

Mwenzenu pesa ndogo kulikoni nyie ila ubingwa lazima kama kanuni ila cha ajabu nyie naaminj mtaenda miaka kumi au zaidi bila ubingwa wakati muda wote huo nyie duniani mnacheza nafasi ya kwanza mkishuka sana nafasi ya tatu kimapato duniani huku domestically kimapato hamna mpinzani pale Uingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…