Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi lingard anafanya kazi gani uwanjani,kocha anampa nini huyu fala hajui hata kutuliza!ni mchezaji wa ajabu kuwahi cheza MU. Lingard wa hovyo sanaaaa,roho yangu inatuliaga akitokaga huyu mbwa wa kingereza na hata akibahatisha goli maana hajui mpira huwa sishangilii,hajui mpira huyu fala naumia sana
 

Kunywa maji babu au zima TV
 
Mkuu punguza jaziba. Wanaompanga wanajua kazi yake. Lile goli limetokana na runs za hao vijana watatu
 
Kazi yake ni kuongeza spidi ya kushambulia.Huyo makocha wote waliotangulia lazima wamuanzishe Van gaal,Mourinho n.k.Siyo wa kumbeza hata kidogo labda kwa wewe unayeangali sijui kutuliza sijui bla bla gani ila anawekwa kwa mkakati huo kwanza mengine baadae.Mcheki akipata mpira jinsi anavyoukokota fasta kuelekea lango la wapinzani.Hata mimi kabla nilikuwa bambeza ila baadae nikagundua kazi yake ni ya kipekee sana nikapiga zangu kimya.
 
Martial hatajwi kwenye list ya wachezaji bora kwa sababu ni lazy other wise ana kila kitu

Kuwahi kuoa kutamaliza kipaji chake mapema
Katika miaka 19 alikuwa anaishi na mke
Mwafrika haachi asili
Mkuu ukioa ndio unatulia Sasa, hata lindelof alivyooa karudi na kiwango kikubwa.

Mambo ya kula Bata mengi ndio yanaharibu wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…