Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fundi wa kulinganisha na Pogba hapo labda Modrick, huyo Kelvin ni average tuu sema ana jitihada lakini uchezaji wake hauna mvuto. Hakuna mtu atalipa hela kwenda uwanjani kumwona Kelvin specifically
 
Fundi wa kulinganisha na Pogba hapo labda Modrick, huyo Kelvin ni average tuu sema ana jitihada lakini uchezaji wake hauna mvuto. Hakuna mtu atalipa hela kwenda uwanjani kumwona Kelvin specifically

Sema mkuu Yodoki II unampenda pogba bila kuangalia athari za ufundi wake usiokuwa na maana unavyoigharimu timu. Nakwambia pamoja na direct football anayocheza kdb,kocha yoyote atamchagua kdb dhidi ya pogba. Pogba anakabika ila kdb ni msumbufu kwa wapinzani.
 
Hizo timu zote zimewauza hao wachezaji wakiwa wameshajipanga kuziba mapengo yao.

Sisi tumeshindwa hata kuziba mapengo ya key players, hakuna winger wa kulia mwaka wa 7 huu.

Usifananishe ambitions za hizo timu na Man Utd ya sasa chini ya Ed.
 
Walitakiwa waletwe viungo kabla ya kumuuza Pogba.

Hili suala halikufanyika dirisha lilipokuwa wazi.
 
Dirisha lililopita mmeshindwa kuleta hao wachezaji.

Mna mategemeo ya kuwaleta January?

Humfahamu Ed wewe.
 
Alexis Sanchez could be in Italy on Tuesday for his medicals. Only details remaining for his transfer to Inter (@SkySport)
 

Pogba alishasema wazi anataka new challenge (anataka kuondoka United)

Mino Raiola amesema Pogba anataka kuondoka na United(OGS,Woodward) wanajua hilo

Juzi kaka yake naye amesema Pogba anataka kuondoka kwenda Madrid

Last season January Raiola alitaka kumpeleka Pogba Man City Pep akakataa

Ni mhamasishaji YES but hataki kuendelea kuchezea Manchester United now amekuwa mpole sababu hana jinsi bado ana mkataba wa miaka 3 na Real Madrid walishindwa kutoa dau la kumnunua wakaleta option ya kubadilisha wachezaji Woodward akakataa
 
Ole amemfundisha Pogba mtoto kabla hajaenda Juventus, miaka ya 2009 mpaka 2011. Ndio maana unaona ana hopes za kumbadili.
Ole alimfundisha Pogba akiwa mdogo na nobody know him except some United fans,Pogba wa sasa ana fedha nyingi,ameshakuwa superstaa na kibaya zaidi wakala wake ni Mino Raiola (Pep & SAF ) hawataki kumsikia kabisa
 
OLE is doing great job to clear deadwood but Woodaward must sign players (right winger/foward) during Janaury 2020.
Inter want Sanchez on loan with option to buy after missing Dzeko we cant play full season with Rashford & Martial

Fenerbahce want to sign Rojo on loan ,Axel Tuanzebe is the third choice CB after impressing OGS during pre-season
 
ndugu zangu vipi humu tunaweza kuweka kambi au tuache rambi rambi in advance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…