Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila yule magwaya na wasiwasi nae sana , labda bissaka nimeona anacheza vzr sana, magwaya mmh naweka akiba ya maneno
Maguire ni mchezaji wetu we wako yule garasa kutoka cheltako.... afu team yako ni wasundikizaji tu kombe linakuja Trafford.. Beki bora ni Maguire.
 
Hawa maskaut wapo sahihi kabisa ila mashabik huwa mna mihemko sana , huyo Bruno mashabik wengi mmemuona game hazizid 5, maskaut wamemfatilia msimu mzima.
Hauko sahihi. Kwani wachezaji wangapi wazuri huwa tunafeli kuwaleta pamoja na scouts kuwafuatilia kwa muda mrefu na kuwaona wanafaa!?
 
Tatizo lenu assAnal pesa hamna ya kusajili beki kama Maguire....
 
Daaa kweli kwenye hii dunia hata ufanye jema gani hutosifiwa na wote. Yaani kwenye ile mechi Maguire alicheza hovyo?
 
Swali lako kwenye mistari mitatu ya mwisho ni konki sana. Na hatokujibu ng'o!
 
Pogba anashow right attitude mazoezini na kwenye mechi wala haforce mambo.... Pogba anaipenda man u ndo maana hajafanya mambo ya konsienly......kitu anachofanya pogba linaweza wala sio kutaka kwenda mardid Bali elekea anataka tu kuongezewa mkataba na mshahara amzidi Sanchez......kitu ambacho ni hali yake.......
 
Kuna mkuu hapo anasema Maguire ni mzito hahahah mkuu Maguire sio mzito Kama ambavyo wachambuzi wanatuaminisha ...... Maguire ni mrefu sana so anavyokimbia simple vile anaonekana mzito ila hatua zake sio poa...same to pogba angaliaga pogba akiwa anakimbia anaonekana kama anajog tu ila kumfikia inakuwa kazi ngumu.....

Issue ya pogba Wakuu sijui tunalalamika nini aiseh...kama Pogba anafanya hayo yote na kisha kuendelea kutoa assist na kufunga magoli kadhaa sidhani kama kuna shida.... Maana hata Rooney aliwahi omba kwenda Chelsea so it's only about mimd games anazofanya ili apewe mshahara tu nothing else
 
Mkuu hii timu ya Man united sio timu ya kuwa stable(nadhani utanielewa kwa apa) kwa msimu mzima, mimi naona kwa jins Rashid anavyocheza kufikisha goli 15 pekee itakuwa kazi sana ...siongei kiushabiki mkuu ..Rashid sio faita, labda itoke tu game imemkubali kama ile dhid ya Chelsea..
 
wakati huo City inashiriki Major League Soccer au Super league ya Uchina.
Sasa Man city kama hujui hata Arsenal wana middle nzuri kuliko wao, kinachowasaidia city ni wings zao Sterling na wngineo pamoja na Ukuta mzuri ndo kinawabeba ..lakin hata Man united anaweza kuwa na kiungo nzuri kuliko hata City(unaweza ukawa ni utani pia
)
 
Tatizo unaongea kwa Unazi..ss rashford atafikisha alaf tutaona.
Sio unazi mkuu Rashid hana nature ya kupambana ..hata gemu ikiwakataa yeye aoneshi jitihada zozote zile ..Rashid anatakata pale game inapowakubali tu..

Angalia dhid ya PSG game ya pili alitakata kwa sabab iliwakubali, angalia dhid ya Chelsea juz ivyo ivyo. Sasa ikitokea game kama kumi zimewakataa itakuwaje??

Rashid kwa umri wake angepaswa kukaza zaidi ila dgo yeye anatembea na mechi ..
 
Wewe Ollachuga una matatizo gani ???
 
Embu punguza bangiii mkuu
 
Kama demu wako anakupa papa, lakini kila siku anasema anataka kwenda kwa John kwako sio shida

It's a matter of pride mzee, kwetu wengine ni jambo zito sana
 
Kiujumla Rashford haja prove kuwa ni striker mzuri sana, ila kusema kwamba hawezi kufikisha goli 15 kwenye mechi zaidi ya 40 ni kumtukana

Elewa kwamba msimu huu atakuwa na game time kubwa sana tofauti na wakati ule yeye alikuwa kama back ya Lukaku

Lakini pia, he is just 21,kwahiyo anaweza kubadilika na kuwa goal scorer mzuri tu

Kwa wanaomjua Sterling wa Liverpool au yule wa msimu wa kwanza pale Man City watakubaliana na mimi kuwa alikuwa anapoteza nafasi nyingi sana za kufunga lakini kwa sasa ni moto wa kuotea mbali
 
Mkuu,akili zako sio nzuri.
😂😂😂
 
Labda,ngoja tuone atakavyokuwa uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…