Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata City we can km vijana watajivika mabomu
 
Mimi,under the assumptions kwamba Liverpool wana options chache sana za kuselect team wako vulnerable sana kwa injuries, unless wa adopt a rotating squad kuwiden options zao, basi wanapigika kirahisi sana.

Hapa siangalii team vs team, naiangalia Team VS league (s).
 
Wanapigika kirrahisi anyway Muda bado upo TUTAKUTANA TU.
 
Mimi nitaanza kuona mwelekeo wa timu baada ya mechi tano.

Kwa sasa naiona Man united ileile ambayo kama inashinda basi inashinda kwa udhaifu wa timu inayocheza nayo siyo kwa ubora wa Man united yenyewe.

Kiungo chetu cha ukabaji bado kinakaba kwa macho na kiungo cha ushambuliaji kinapoteza mipira na kuipoteza build up ya mashambulizi, kama man of the match ni central defender basi sisi ndiyo tulioshambuliwa zaidi kuliko wenzetu. Kama Chelsea ingekuwa na wachezaji waliokomaa walau wawili kule mbele kuanzia first half huenda matokeo yasingekuwa hivi.

Ni imani yangu tutaendelea kuimprove kadri ligi inavyoendelea.
 
Usimsahau willian
 
Usitegemee kushambuliwa sana kama uko fierce kwenye counter attacks.
 
Man city wao huwa hawajali wewe unashambulia au umewasubiri wao wanashambulia tu hata kama uko smart kiasi gani kwenye counter attack
That is a complete team.na forward line yao huwalazimisha mabeki kufikiria namna moja tu, kudefend. Sababu ukitaka kufanya counter attack ni lazima uwe na mabeki wenye uwezo wa kufikiria na kufanya maamuzi kwa haraka wanapokaba na wanapopokonya mpira.

Team inayocheza counter attack mabeki hawawezi kuwa wabutuaji, wanalazimika kupokonya mpira na kutoa pasi moja au mbili na moja wao inabidi iwe potential assist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…