Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ajabu ni kwamba haukuonekana saa tatu kamili na hata sasa umepotea kabisa.
😂😂😂
 
.....
 
kiupande fulani bado tupo ovyo kwenye umiliki wa mpira na hili si tatizo la mchezaji mmoja mmoja bali nusu ya kundi la wachezaji wanaounda timu yetu, hata ukiangalia safu yetu ya ushambuliaji bado wana ugonjwa ule ule wa kushindwa kufanya maamuzi ya haraka pindi tunaposhambulia (si ajabu kumkuta martial au rashford anapiga chenga eneo analopaswa kutoa pasi).
jana tulicheza na timu ambayo haikuwa na uwezo wa kufika kwenye eneo letu la hatari mara kwa mara ndio maana defence yetu ilionekana kuwa vizuri lakini kuna siku tutakutana na timu zinazomiliki mpira na kufika kwenye eneo la adui kwa speed kubwa ndipo tutakapofahamu zaidi uwezo wetu kama umeimarika au kinyume chake (si mbaya tumerekebisha defences ila tumeshindwa kuimprove eneo la midfields)

karma is bitch.
kilichomkuta jana tammy abraham na mason mount kuna siku kitamkuta greenwood na crew yake, ndio maana nitaendelea kusimamia msimamo wangu ule ule wa kupinga kuwabebesha majukumu makubwa sana chipukizi kwenye kundi la wachezaji vilaza.

GGMU
 
Sidhan kama umeangalia mechi. Toka maandalizi yaanze kocha alishasema kuwa greenwood hataongoza mshambulizi. Ndio maana anaanzia kutoka nje. Pale mbele akina rushford na martial ndio wataendelea kupiga mzigo.

Man u si wajinga wambebeshe majukumu greewood. Mtoto wa miaka 17.. hatoweza kabisa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…