barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Ukweli ni chelsea walikatika dk 20 mkazitumia. Waliwatawala sana, kazi bado mnayo kwa kikosi hiki...Matokeo mazuri.
Ila midfield ifanyiwe kazi zaidi.
Forward iwe na uchu wa magoli.
Huyu Chelsea angekula hata 6.
Tumelipa zile nne zao safi tunaanza upyaaaaaaa
Kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu tumekaa juu ya Liverpool kwenye msimamo wa ligi
Ni dalili njema
Huo mpira mnaoangalia ni wa wapi? Pogba ni fundi bhana tusimwandame sana aisee.Jesse lingard na Pogba mpaka sasa ni wachezaji hewa.
Hahhaha may be from extraterrestrialDefense splitting pass!
Tumetofautiana sana aiseeKtk mech ya leo hao ndio wachezaji bora uwanjani pogba,perrera,scott na lingard wanaongeza idadi ya watu uwanjani msaada wao haupo labda tusubir kipind cha pili
Here we're UNITED
Mkuu unasimamisha nyumba ndani ya siku ngapi?Dah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Mpira ndo upo hivyo.Ukweli ni chelsea walikatika dk 20 mkazitumia. Waliwatawala sana, kazi bado mnayo kwa kikosi hiki...
Sijawahi kumuona martial kapiga tackle asee nimeona leo.
Dah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Ungalia mda niliyotuma hiyo comment ilikuwa kipindi cha Kwanza,Pogba alicheza hovyo half ya kwanza.Huo mpira mnaoangalia ni wa wapi? Pogba ni fundi bhana tusimwandame sana aisee.
Kila kitu ni phases mkuuSijawahi kumuona martial kapiga tackle asee nimeona leo.
mkuu tofauti kubwa iliojitokeza kati yetu na chelsea kwenye mechi ya leo ukiachana na ishu nyenginezo zisizoepukika ni kwamba chelsea wamemuondoa mchezaji wao muhimu sana ambaye ni eden hazard wakati manchester united wamembakisha mchezaji wao muhimu ambaye ni paul pogbaDah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Fans wa United sometimes wanashangaza, eti hawaoni kazi ya PogbaPaul pogba kafanya shuguli kubwa