Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
kaka liverpool ni vibonde tu, wakijitahidi sana hapa leo ni droo. it has nothing to do with RvP. vp mmeshaandaa kapu la magoli kule Itihad? rafiki yangu mwarabu hapa ananitonya andaeni makapu matatu.Van persie atawasaidia leo Man united kufuta uteja kwa liverpool
PAbaya wapi BJ.... wacha kuleta sababu....koz una weza access Internet then u can stream it live........unless unataka link nikupe fasta.....
Mtani unaogopa hata kuangalia mechi? Ha ha ha
Mmh! wewe nawe unataka tufungwe ufurahie..haya nipe hiyo link nione live stream, kiukweli nipo bapaya! he he
Aah jamani mtani mie tena niogope kuangalia, ha ha..(ila kiroho kinadunda fulani)..sipo sehemu nzuri na imeniharibia kabisa kucheki mechi!!
Nimetia kambi rasmi hapa...Liverpool naomba muwaadhibu hawa wapiga kelele wa mashambani!!
Karibu sana baadae uone tunavyopiga mtu.Watani lazima mfungwe aisee...afu baadae nahamia arsenal kushangilia their loss...
Liverpool vibonde wa timu nyingine kasoro Man United.kaka liverpool ni vibonde tu, wakijitahidi sana hapa leo ni droo. it has nothing to do with RvP. vp mmeshaandaa kapu la magoli kule Itihad? rafiki yangu mwarabu hapa ananitonya andaeni makapu matatu.
Evra leo ana shughuli pevu.I can see that kid from Kingston Jamaica anavyokimbiza EVRA...
Karibu sana baadae uone tunavyopiga mtu.
Eishh!! Rejao give us a break bwanaa..usituombee kipigo, hujui na nyie mna mechi leo leo!! khe khe khe
BelindaJacob najua unaangalia huu mchapo mkali sana....usiangalie kimya kimya lol! zuka hapa jamvini....itakuwa poa sana L'pool wakiwachapa lol!....Dua la kuku siku nyingine humpata mwewe hahahahah. Dakika ya tisa 0-0
Evra leo ana shughuli pevu.
Liverpool wameanza na moto