Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mi namshangaa sana anaona soka la leo ni kama lile la miaka ya fergie....kwa sababu tu kule molde alisajili vitoto vikampa ubingwa
Ole bado anajifunza kama ambavyo benchi lake zima la ufundi linavyojifunza.
 
Muda wa kwenda kuwabatiza watu kwa maji ya Moto umewadia.
 
Taratibu tutapata vijana watakao leta ushindani maana tulishajiribu kuleta majina makubwa kama wengi humu wanavyotaka lakini kilichofwata mkaaza kulaumu kocha hajui kuwachezesha.View attachment 1175783
Hii picha ilikosewa miaka ya mikataba ila umri ipo sahihi, tuangalie watakavyocheza msimu huu ila naamini tupo kwenye njia sahihi, winga wa kulia na midfield ya maana January ikiwezekana.
 
Hii picha ilikosewa miaka ya mikataba ila umri ipo sahihi, tuangalie watakavyocheza msimu huu ila naamini tupo kwenye njia sahihi, winga wa kulia na midfield ya maana January ikiwezekana.
Bro tutaiwaza January tukiwa kwenye nafasi ipi? Tatizo ndipo linapoanza hapo... Msimu uliopita Ole alianza vizuri tokea alipochukua mikoba ila kumbuka kilichofuata baada ya game ya PSG.... So labda awe so cautious kutofanya rotations zisizo na msingi na kustick na watu anaoona wanafit na wana consistence nzuri... La sivyo tutakuwa tena chama la wana na kuendelea kustruggle kwa wolves.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…