Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waarabu wapo waje kuinunua hii timu....kama utajiri washaupata vya kutosha wale wamarekani wasepe
 
Mi namshangaa sana anaona soka la leo ni kama lile la miaka ya fergie....kwa sababu tu kule molde alisajili vitoto vikampa ubingwa
Ole mwenyewe bado yuko kwenye pilot phase hajui anachokipigania nini pale Man u.

Katika media anaongea as if timu inaperform magically lakini kwenye vision yake anaichukulia Manchester ina ndoto sawa na Burnley.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…