mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Kuwa talented na umri mdogo sio sababu ya kufanya vizur ligi mpya, Ole yupo makin hatak kufanya makosa ya watanguliz wake, Mou katuletea Fred kwa pound 52, what happen?Yes..hata mimi nitamchagua bruno cuz hes talented na anaumri mdogo so tutamtumia kwa muda mrefu kuliko kutoa pesa nyingi kumchukua mtu ambaye atatumika kwa misimu miwili tu..
Ole karudisha utamaduni wa zamani, mchezaji aipende timu kwnza na sio ushawishi wa fedha, kina Mou na magenge yake ndio yalituvuruga wametuletea kina Sanchez .......
Mfano mzur ni kwa Magul kaonekana kafurahia sana kuwa mchezaj wa Utd, ilikua ndoto yake
Ndio maana masema, awekwe sokoni.Mkuu, huyu lukaku wiki jana kafanya uvunjifu mkubwa sana wa maadili, Nina uhakika alichokifanya alifanya huku akijua ni makosa.
Ali reakisha ranking ya speed ya wachezaji uwanjani, tena huku akijigamba kwamba yuko vizuri.
Kama maamuzi ya kumuondoa kwenye mazoezi yamefanyika kwa kuihusisha jambo hili inawezekana kabisa hata kwa nini Herrera hakuongezewa mkataba ni kutokana na blunder ambayo aliwahi kufanya kipindi cha mourinho baada ya kuruhusu mdau wa timu moja ya Hispania kama sikosei kwenda kwa mazoezi ya man u wakati ikijiandaa kukabiliana na timu hiyo.
Hivi vilabu ni zaidi ya makocha, kuna policy na ethics ambazo lazima zifuatwe.
Bruno ni talented kuliko Ericksen.Ericksen ni EPL proven.
Yani upewe Ericksen na bruno, uchague bruno. Kisa bruno ana miaka 24.?
Man Utd ni club tajiri.Pesa inayotajwa kumtoa Eriksen spurs ni ndogo kuliko ya kumtoa Bruno huko alipo.
Bruno ni talented kuliko Ericksen.
Bruno ni mchezaji mzuri kwenye ligi mbovu.
Hakuna timu kubwa zinazomtaka. Hata Man u tuu hatuko interested nae.
inasikitisha kwa kweli akijibu nifahamisheLabda uniambie umeangalia mechi ngapi ambazo Bruno amecheza. Hadi uje na conclusion hiyo.
je Ronaldo na Nani walikuwa katika peak hii aliyokuwa nayo Bruno??Ile ligi katoka ronaldo na luis nani timu zipi ziliwawinda kama sio hii timu?
Eriksen anacost paun mil 60 wakati sporting Lisbon wanataka paun mil 70.....Bruno alifeli Italy so labda uwezo wake unaendana na ligi aliyopo..... Je kuna guarantee kama Bruno atakuwa success akija? Jibu ni hapana..hivyo silaumu deal la Eriksen maana tumeona mbaliYes..hata mimi nitamchagua bruno cuz hes talented na anaumri mdogo so tutamtumia kwa muda mrefu kuliko kutoa pesa nyingi kumchukua mtu ambaye atatumika kwa misimu miwili tu..
Sky sport wana report dili la eriksen liko karibu kukamilika!Eriksen anacost paun mil 60 wakati sporting Lisbon wanataka paun mil 70.....Bruno alifeli Italy so labda uwezo wake unaendana na ligi aliyopo..... Je kuna guarantee kama Bruno atakuwa success akija? Jibu ni hapana..hivyo silaumu deal la Eriksen maana tumeona mbali
Sanchez aliyekuwa ametoka kuwasha moto arsenal mbona ameflop??Kuwa talented na umri mdogo sio sababu ya kufanya vizur ligi mpya, Ole yupo makin hatak kufanya makosa ya watanguliz wake, Mou katuletea Fred kwa pound 52, what happen?
LVG alituletea Depay very young talented, Di Maria, bora Falcao alikuja kw mkopo
Eriksen umfundishi cha kufanya, hana muda eti azoee mazingira, huyu unamsajiri leo then unamuanzisha ufunguz na chelsea
Eriksen anacost paun mil 60 wakati sporting Lisbon wanataka paun mil 70.....Bruno alifeli Italy so labda uwezo wake unaendana na ligi aliyopo..... Je kuna guarantee kama Bruno atakuwa success akija? Jibu ni hapana..hivyo silaumu deal la Eriksen maana tumeona mbali
So guys usajiri hamna?? Au leo wanaweza fanya tukacheka kidogo! Hii timu hata kuifuatilia naona uvivu asee.