Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sio kwamba dybala haitaki man u?kila akipandisha mishahara ,man u wanakuwa tayari kumlipa? Akaleta janja kuwa hutaki kukatwa 25% man u isipofuzu UCL ,
Mshahara alioutaka Ni 20m kwa mwaka na Agent kataka 13m (leaks), hizo Hela man utd kwake sio tatizo, for comparison Sanchez deal lake Ni 26M.

Inaonekana Ole ana say kuvunja hili deal, ama Kuna kitu chengine tusichokijua maana Woodward ninayemjua Mimi angeshakubali zamani tu huo mshahara.
 
Katupia 2 huko. Ni mechi ya Siri mkuu haijaonyeshwa kwenye tv Wala Mashabiki. Wamecheza tu Carrington, nimeangalia Kidogo ngao ya Hisani.
Lakini Lingard atabaki standards za Bolton Wanderers kama Jons Evans au Tom Cleverly.
 
Hakuna kitu kinaniuma roho msimu huu kama kuona pep anachukua treble epl .....rekodi yetu inaenda vunjwa huku naishuhudia waziwazi maana sioni timu yA kuizuia city wasibebe tena ubingwa
Na anachukua kiukweli, ndoo ipo mikononi mwake now

Itokee tofauti labda
 
Lakini Lingard atabaki standards za Bolton Wanderers kama Jons Evans au Tom Cleverly.
Hatakiwi tu kuanza Ila ana umuhimu wake, lingard Ni Big game player Kama vile ji Sung park, anakaba Sana anasaidia midfield na pia mechi kubwa na Ngumu Ni likely kufunga, Jamaa ana record nzuri Wembley kushinda mchezaji yoyote kwenye kikosi chetu kwa Sasa.
 
Ukweli mchungu huu we namba kumo unamaliza msimu huna hata assist kumi....kuna pindi cha lvg alikua anafungafunga mapimbi wakaanza mfananisha na ronaldo....pale epl kuna fans matahira sana
Lakini Lingard atabaki standards za Bolton Wanderers kama Jons Evans au Tom Cleverly.
 
Big game eeeeh mechi na barca alifanyaje huyo pimbi.....
 
Big game eeeeh mechi na barca alifanyaje huyo pimbi.....
Alipata Majeruhi Yeye na martial mechi ya psg, na hata mechi ya Barca ilipokuja hakuwa fit, Kama sijakosea aliingia sub hakucheza hata dakika 90
 
Mshahara anaopata Pogba unafikiri haupati Madrid ama Barcelona?

Maana alikuja kwa record ya dunia lakini hakudemand mshahara wa Rooney ama Ibrahimovic, alipata mshahara mzuri ndio lakini Ni fair kwa kiwango chake.
Sasa mimi sijaelewa dhumuni la madai yako nimekwambia man wameachana na mpango wa kumsajili kwa sababu hawajakubaliana na matakwa yake na hiko ndo kitu cha msingi kwa mchezaji yaani kawaambia pesa wao hawataki kutoa iyo hela iyo ni tofauti kwa pogba kwani walikubali kwa upande wake ndo maana tunamuona leo hii. Sasa kama timu haipo UCL na mbovu kiwango cha lami hapo kitu pekee cha ushawishi ni hela tu na wala tusidanganyane sasa kama hamtaki kutoa ushawishi wa hela ndo ivyo itakula kwenu
 
Madrid ni washenz sana.. Yan James + £27.4M hlf pogba atoke! Madrir is crazy..James atazeekea kwenye loan tuu and still no interested team in such!

Real Madrid Offer of £27.4M and James Rodriguez for Paul Pogba has been Rejected by Manchester United. [@brfootball] Wtf Real Madrid
 
Pogba alivyokuja pia timu haikuwa champions league, sio Pogba tu tumepata bahati ya malegend wengi Kama Bastian, Ibrahimovic, Falcao etc wote walichagua man U na kuacha timu nyingi tu japo hizo timu zipo champions league na Man U haipo.

Na hayo matakwa yanatakiwa yawe realistic, Pogba anakuja Man UTD akiwa kikosi Cha Fifpro, kwa lugha rahisi wachezaji 11 Bora duniani aka alikuja kama mchezaji Bora zaidi kwenye position yake anayocheza na still haku demand mshahara mkubwa wa zaidi ya anacho deserve.

Dybala hajafikia Kiwango Cha Pogba na Kama amewahi kuwa ndani ya Fifpro nimesahau utanikumbusha, then mchezaji Kama Huyu anapodemand Hela kubwa na Agent wake naye akaingia Tamaa akitaka Hela Kubwa kuliko mshahara wa zaidi ya asilimia 90 ya wachezaji wote Epl huo Ni uwenda wazimu. Ukichukua 13M ukagawanya kwa wiki 52 unapata 250K per week, Hela ya Agent,
 
du jamaa wameona man u shamba la bibi wavune kirahisi tu
 
Ni kweli kabisa Lukaku hapati service ya kutosha pale OT na hili Kuna jamaa zangu huwa nabishana nao Sana.huyu jamaa angekuwa anacheza timu inayompisha vizuri mipira angekuwa anatupia Sana tu
 


Uchambuzi wa Beki mpya.. Harry Maguire atasaidia sana kama beki ambaye ni mzuri katika kuanzisha mashambulizi hasa ukizingatia midfield ya Manchester ina walakini sanaaa...
 
Wapumbavu kweli hawa

Kwahiyo James atakuwa ana thamani ya pound 100m??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…