Yaani ndiyo league ikianza hivi mwezi December watamtimua kocha, mpira mbovu kweli aisee
Yaani ndiyo league ikianza hivi mwezi December watamtimua kocha, mpira mbovu kweli aisee
Mashabiki wa angel gomes tupo wapi
Hizi mambo anaezaga Mourihno, ata Lukaku ilikuwa aje Chelsea Mara gafla bin vuu mze baba kapiga tiktak ambakati moja ya Atari mchiz akatua man united ..Willian alinyakuliwa na Chelsea akiwa amekubaliana na Tottenham kila kitu
Hahaha kweli mkuu hizi mambo anaezaga Mourihno, na Mara nyingi kwa wachezaji wengi wa Chelsea kuanzia Didier Drogba, Ob Mikel, Willian na Pedro nadhan.. hata dili la Lukaku kuja man united ilikuwa tiktak za Mourihno.fuatilia hadithi ya usajili wa mikel obi kuelekea chelsea, takribani timu tatu zilishafikia makubaliano ya kumsajili.
Sir Alex Ferguson thought he had won the race for the talented Nigerian's signature in 2006, and he was even pictured in a United shirt, only for him to join Jose Mourinho at Stamford Bridge instead.
Mikel's future was resolved in June 2006 when Chelsea agreed to pay United £12 million for him, and a further £4 million to Lyn.
Obi Mikel cried when Man Utd move failed
John Obi Mikel was crying the day he joined Chelsea and really wanted to join Manchester United, it has been claimed in an explosive court case in Norway.www.telegraph.co.ukJohn Obi Mikel reveals why he rejected Man United for Chelsea
John Obi Mikel has lifted the lid on why he chose Chelsea over Manchester United 12 years ago... to save the careers of three other Nigerian players.www.dailymail.co.uk Chelsea news: Roman Abramovich sent SIX cars to sign John Obi Mikel
JOHN OBI MIKEL has told of how Chelsea chairman Roman Abramovich conducted a “military operation” to get him to sign for the Blues.www.express.co.uk
Bruno kama akitua atasaidia sana apo kati maana Pogba akibak hatacheza kwa kujitoa sana ..kimbembe ni kumtoa Bruno na kumshusha apo OT ..kwa upande wa bek kweli mumekamilika labda Ole azingue kupanga tu..Hii timu inahitaji kiungo wa maana bora tukomae na bruno kwanza
Lukaku Si hayupo kweny mipango ya kocha wenu Ole??Pogba analeta uhuni, kwanini Lukaku hajacheza leo?
Gomez anahitaji mwili kidogo tu. Akishapata mwil atakuwa moto zaidMashabiki wa angel gomes tupo wapi
Mchezaji yeyote mwenye kiwango kikubwa lazima ata-attract interest za Madrid au Barca hata km wakishindwa kumpata. Huo ndiyo ukweli. Paul, Daud na Eriksen ni wachezaji wanaonekana kuwa na viwango kwa sasa nchini England licha ya timu wanazochezea kutokuwa boraMkuu kucheza Barca au Madrid sio kwamba ndo dream ya wachezaji au usipocheza izo club mbili kubwa basi hauna kiwango cha kutisha. Mbona izo club zina average player wengi tu.? labda ungesema timu kama ndogo ndogo Arsenal au Spurs thier players most of them ndo wanandoto za kufika barca au pengine madirid
Ila club kubwa kama Chelsea, Liverpool au Manure na upcoming giant Man city wengi wa wachezaji wao washafika kwenye dream zao. Wachache kama akina Paul Pobga au Edern Hazard(kama alivyotimiza ndoto yake) ndo bado wana amini dream zao ni kucheza Madirid au Barca.
Mf VVD kutokutakiwa na madirid sio kwamba ni average player. Tayari kashafika kwenye peak yake na sasa yupo kwenye kinyang'anyiro cha Ballodi'or ..kwa apo Manure magwaya anaweza kuwa bora kwa ndani ya club.
Maguire, Wan Bissaka, Daniel James wamesajiliwa.Mpaka sasa tumesajili wachezaji gani?
Na tumeuza yupi na yupi Chief-Mkwawa