Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waeleze waelewe ni jinsi gani mashabiki tunavyochangia pesa EPL , juzi pale Arsenal mashabik waliandamana wakiwa na hoja kama hizi, ifike mahala wamiliki wa timu warudishe fadhila kwa wanaoleta faida pia ,

Ile ambush iliwatoa pangoni....

Sasa mtu akisema mashabiki wanachangiaje timu ,anakuwa anachekesha ,zile TV rights zinatokana na hizi hela za vibanda umiza
 
changishaneni msajili kama Yanga izo 69000/- na kununua jezi fake ndio muumie mioyo kama hivyo relax madhee
 
#Inter director Marotta to @SkySport: "We made an important bid to Man United for Lukaku but Man United ask so much for Romelu. We didn't find an agreement but we're still working for Lukaku. I don't know what will happen on next days, football is so strange..."
#MUFC #ManUtd
 
Yani katika sehemu ninayo msupport ed ni hapa. Awabane hao inter wanajifnya wajanja sana.
 
There are rumours United transfer budget is £100m & OGS already spend £65m so United must sell players before buy another players,Lukaku is expected to be sold this week
Rumors!?? Dont spread bullshit bro..
 
Kwangu Mimi mchezaji yoyote kusajiliwa na Man united kwa muda uliobaki ni habari ya kushangaza.

Hao wote wanaotajwa tajwa anaweza asisajiliwe hata mmoja akaokotwa poyoyo mmoja wa kingereza kutoka huko championship ( siku hizi wanaitwa youngsters).

Haaaaa haaaa daaah apo kwa POYOYO mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…