Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yaan sijui kina De ligt wanaopatikana kwa 60, hawaonekan ,Kwa bei ya £75m ni ya kawaida tu kwa Soko la sasa. Ila watu wanachohoji ni uwezo wa Maguire mwenyewe! Wanasema beki huyu katika Maisha Yake yote ya soka kang'ara kwenye Kombe la Dunia tu, lakini baada ya Kombe la Dunia mpaka leo hajacheza vizuri kwenye Timu ya Taifa mpaka Club.
Je haoneshi kuwa ni type ya Lovren ambaye pia alicheza vizuri kwenye Kombe la Dunia mpaka akafikia kujiita Beki bora?
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo Washabiki wanayoyahoji Mkuu.
Upo sahihi..ni mtoto wa fundi Gheorge Hagi
Yeah ni kwel si yule ambae ameonyesha kiwango kama cha kombe la Dunia, Tukija kwenye uhalisia Ukimuondoa Lindelof hawa Jones, Smalling, Baily wana kitu gan kumzid huyu Maguire?
Nilitaka kumuuliza hivyohvyo.Kwani unataka musajili wachezaji wa ushindani (contenders) au unataka musajili just upgrade ya Jones na smalling tu?
Swala sio hawaonekani, je huyo De ligt yuko tayari kuja Man u, kucheza europa lig pamoja Smalling, Lingard na Rashford, aache kucheza CL, pamoja na bonucci, Chellin, bila kumsahau Ronaldo?Yaan sijui kina De ligt wanaopatikana kwa 60, hawaonekan ,
Nimeamini ukiwa na Negotiator na DOF utasajiri vzr bila kupigwa ovyo, na utauza vzr ,
Sasa hivi uwepo wa Michael Edward Mna enjoy ,
Hata ingekuwa 180 bado ingekuwa ni fuckin!
Nyie huko vipi hela zimepatikana? Mana muda wote huwa mnatafuta pesa ya kusajiliaWazee wa tetesi, wazee wa kupigwa nyie kila mchezaji mnahusika hahahahahahahahah
Unamaanisha pogba ana thamani ya viungo watatu au unashauri timu iongeze viungo? Pogba kwa work rate yake hata akiongezeka kiungo Wa kawaida kama replacement yake na Fernandez inatoshaDaniel James ni bad news kwa wapinzani, lets wait and prove
Wan Bissaka atasaidia sana defence inayovuja kwa sasa
Hakuna ubishi tunahitaji world class deffender
BF na kiungo mwingine wanahitajika kuongeza creativity na uimara wa kuilinda back four yetu
Pogba akiondoka tutahitaji kiungo wa tatu, yaani tusajili watu 3 wapya wa kati
Lukaku akiondoka tunahitaji mbadala wake, tukimtegemea Rashford, atazidiwa magoli hadi na midfielders
Msimu ujao, tunapaswa kumtafutia Luke Shaw mshindani wa namba, winger wa kulia na beki mwingine wa kati
Mwezi wa 8 unakaribia mtakimbia jukwaa hili akiwemo CHIEF-MKWAWANyie huko vipi hela zimepatikana? Mana muda wote huwa mnatafuta pesa ya kusajilia
Duuu yaani msikimbie nyie kule tukimbie sisi? Kweli mmezoea shidaMwezi wa 8 unakaribia mtakimbia jukwaa hili akiwemo CHIEF-MKWAWA
No Pogba hawezi beba viungo 3 ndani yake mkuuUnamaanisha pogba ana thamani ya viungo watatu au unashauri timu iongeze viungo? Pogba kwa work rate yake hata akiongezeka kiungo Wa kawaida kama replacement yake na Fernandez inatosha
Aaah tumesomana bro! Ni sahihiNo Pogba hawezi beba viungo 3 ndani yake mkuu
Ninachosema msimu huu ameondoka Fellini na Herrera na hakuna replacement iliyofanyika, hivyo tunahitaji angalau viungo wawili, hata asipoondoka Pogba
Na endapo Pogba ataondoka tunahitaji viungo watatu wapya sasa
Bargaining strength
Hakuna kitu inanitesa nafsi yangu kwenye soka km mchezaji kiwango, timu anaitaka ila anaondoka kwa mambo ya kizembe ya timu.Daah inaumaView attachment 1146804
Hlf kapewa mkataba wa 5yrs..ataondoka akiwa na 34 yrsDaah inaumaView attachment 1146804
Bora ninyi Herrera... Ss kwa Ramsey jeDaah inaumaView attachment 1146804
Tetesi zinasema alitaka 350K ili abaki.Daah inaumaView attachment 1146804