severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Hivi ni kweli hujui athari ya mishahara mikubwa kwa wachezaji wetu?Kazi ya mishahara waachie wamiliki. Kwasababu ndo wanaweza kumlipa hivyo.
Kazi yako ni kushabikia ushindi.
Huyo mchezaji ajira yake ndo hiyo.
Ukiwa unaongelea mishahara ya wachezaji ,usiongelee wachezaji wa City, hao nyuma ya pazia wanalipwa pesa ndefu.
Kwa hiyo mmeamua kufuata playbook ya projects za Poch na Klopp?
The question is: Mna patience ya rebuilding process ambayo normally takes 3-5 years hadi muwe true contenders?
Ama mtaamua kufuata Projects za Mourinho na Guardiola ambazo ni kumwaga mapesa ili kupata instant success in 1-2 years?
Wakati Utd ikihangaika kuongeza wazawa kikosini Atletico tayari wameshamchukua Joao Felix kwa pauni 113 million huko(Sky sports)
Wazee wa tetesi, wazee wa kupigwa nyie kila mchezaji mnahusika hahahahahahahahahWamchukue tu after all hatujawahi kumhitaji Joao Felix
Wamchukue tu after all hatujawahi kumhitaji Joao Felix
Haya bwana, kubalini Club tu iendelee na kuongezea idadi ya kutosha ya wazawa. The next ni Maguire(mzawa) na Long staff(mzawa)
Acha waletwe tu kama team inaona watapata matokeo it is ok
Inawezekana kwamba Maguire akawa anaonaekana ni expensive ila kwenye soko sasa hvi kuna beki mbadala ambae tunaweza kumnunua?
Mourinho kipindi anafukuzwa moja ya sababu kubwa kwake ilikua hakupata wachezaji sahihi maana alihtaji central back and nature winger hakupewa.
Kama OGS amaeamua kudeal na wazawa acha asajili hao ili baadae aje ahojiwe mafanikio / anguko lake kwa maamuzi ambayo anayafanya sasa hvi.
So far kwa aina ya wachezaj ambao ameshanunua akiongeza na Bruno plus Maguire sidhan kama team yetu itakua ina matatzo makubwa.
Yeah ni kwel si yule ambae ameonyesha kiwango kama cha kombe la Dunia, Tukija kwenye uhalisia Ukimuondoa Lindelof hawa Jones, Smalling, Baily wana kitu gan kumzid huyu Maguire?Kwa bei ya £75m ni ya kawaida tu kwa Soko la sasa. Ila watu wanachohoji ni uwezo wa Maguire mwenyewe! Wanasema beki huyu katika Maisha Yake yote ya soka kang'ara kwenye Kombe la Dunia tu, lakini baada ya Kombe la Dunia mpaka leo hajacheza vizuri kwenye Timu ya Taifa mpaka Club.
Je haoneshi kuwa ni type ya Lovren ambaye pia alicheza vizuri kwenye Kombe la Dunia mpaka akafikia kujiita Beki bora?
Hayo ni baadhi ya mambo ambayo Washabiki wanayoyahoji Mkuu.
Kuna dogo anaitwa Lanis Hagi ni Mromania anapiga 10 amenikosha sana..hivi scout team yetu huwa haiwaoni hawa wachezaji??..maana tunakomaa tu na overhyped players..
Upo sahihi..ni mtoto wa fundi Gheorge HagiHivi huyu dogo ana vinasaba vya George Hagi, Romanian legendary player
Ninatamani kuona Bruno akisajiliwa mapema maana hata mata nae umri umekwendaDaniel James ni bad news kwa wapinzani, lets wait and prove
Wan Bissaka atasaidia sana defence inayovuja kwa sasa
Hakuna ubishi tunahitaji world class deffender
BF na kiungo mwingine wanahitajika kuongeza creativity na uimara wa kuilinda back four yetu
Pogba akiondoka tutahitaji kiungo wa tatu, yaani tusajili watu 3 wapya wa kati
Lukaku akiondoka tunahitaji mbadala wake, tukimtegemea Rashford, atazidiwa magoli hadi na midfielders
Msimu ujao, tunapaswa kumtafutia Luke Shaw mshindani wa namba, winger wa kulia na beki mwingine wa kati
Duh kweli maji hufuata mkondo, hala ile timu ya U21 ya Romania ukiifuatilia kuna madogo wa kusajili kabisa maana wa napiga mpira mwingi kweliUpo sahihi..ni mtoto wa fundi Gheorge Hagi