Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,218
Kama ulisoma habari zilizopita Fergie alipropose welsh aje kuwa Dof wetu. Huyu jamaa alikuwa responsible kuitoa Chelsea toka timu ya mchangani mpaka kuchukua ubingwa, mind nyuma ya Mafanikio ya Mou akiscout wachezaji kama Drogba na Essien.kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.
- tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
- pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.
usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
Haya kasikia malalamiko yenuHalafu angalau hizo hela wange invest kwenye youth system, viwanja na miundombinu mingine, wanalipa deni lao personal lisilohusiana na timu, hali ya kuwa deni la timu (ambalo nalo ni wao walioleta kwa kukopa kwa kutumia Asset za Man u) lipo vile vile.
Inauma sana timu yetu inavyodondoka, something must be done kusema kweli.
Tukimsajili AWB na deni letu litapungua? Usajili wetu haufikii hata nusu ya hela zinazochotwa.Haya kasikia malalamiko yenuView attachment 1138996
Hawa wamiliki wa kimarekan washenz sana, sijui kwann England waliruhusu timu zimilikiwe kijinga hivi, wangeweka utaratibu kama wa Germany,Tukimsajili AWB na deni letu litapungua? Usajili wetu haufikii hata nusu ya hela zinazochotwa.
Hawa wamiliki wa kimarekan washenz sana, sijui kwann England waliruhusu timu zimilikiwe kijinga hivi, wangeweka utaratibu kama wa Germany,
Na wamechagua kuwa hivo..hovyo sana hawa jamaaNeymar na Pogba ni Celebrities sio hardworking footballers.
Tunaenda kuwa AC Milan!Halafu angalau hizo hela wange invest kwenye youth system, viwanja na miundombinu mingine, wanalipa deni lao personal lisilohusiana na timu, hali ya kuwa deni la timu (ambalo nalo ni wao walioleta kwa kukopa kwa kutumia Asset za Man u) lipo vile vile.
Inauma sana timu yetu inavyodondoka, something must be done kusema kweli.
Ac Milan mchina kawekeza pale soon watarudi tenaTunaenda kuwa AC Milan!
Nafuu Pogba mara mia kuliko Neyma, yule dogo pasua kichwa sanaKuna swap ya Pogba na Neymar inakuja
That can’t be the case – the Glazers are not good for United and never have been…
Hopefully one day someone will see our message and act on it. The right person or group who will also put fans first.
Hahaaahkucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.
- tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
- pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.
usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
Ole anatiatia tu huruma..nothing big to expect from himkucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.
- tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
- pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.
usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
Niliona hii habari nikaconclude kuwa Ed Woordward anatuharibia timu uwanjani..Kama ulisoma habari zilizopita Fergie alipropose welsh aje kuwa Dof wetu. Huyu jamaa alikuwa responsible kuitoa Chelsea toka timu ya mchangani mpaka kuchukua ubingwa, mind nyuma ya Mafanikio ya Mou akiscout wachezaji kama Drogba na Essien.
Hakuishia Hapo alivyoenda Leicester akaleta watu kama Mahrez, kante na Vardy kwa bei chee, walichofanya wote tunajua.
Akaenda Everton, ambapo amefeli na kufukuzwa lakini still alisajili watu kama Gueye kwa 8m tu, kina pickford etc
Jamaa kila anapoenda anajua kutafuta bargain zinazokuja kuwa wachezaji wazuri ama hata World class.
Pamoja na fergie kuwa na influence kwenye Timu woodward amekataa na hadi leo hakuna Dof, usajili utaisha watakuja tu wachezaji randomly wasio na identity yoyote.
Nshawahi kusema mchawi wa Man Utd ni edo. Ni mwanga aliyetumwa kuroga sijui shida iko wapi. Nasapoti #Graizerout# kwa sabb moja tu.Niliona hii habari nikaconclude kuwa Ed Woordward anatuharibia timu uwanjani..
kwenye makungwi umenichekesha..kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,