Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

01_fellgoal_940x48_1569746a.jpg

HE'S A MAR-VEL ... Marouane Fellaini gets above Michael Carrick
to power home
the winner at Goodison Park

Wakuu RVP pamoja na Young Diver wamefunga MAGOLI MANGAPI LEO?
 
huu uzi hata kwenye match day unadoda... so far 1st half imekwisha manure nawaona wakawaida sana

These guys were dreaming to go unbeaten the whole season. Ha! Look at how the Gods of football put them in their place!
 
....Wenyewe mpo humu? BJ & Co poleni sana kwa kipigo kumbukeni kuvunjika koleo siyo mwisho wa uhunzi...EPL ina raha yake bana katika dakika 90 chochote kile kinaweza kutokea. Poleni sana.
 
Duuhh.......ndio nimetoka kupiga boksi.......nimekuta mashetani wameshapigwa.......duuhh poleni.........
 
....Minalfaidhina....VP haijajibu sasa babu SAF anataka arudishiwe 60% ya mkwanja wake lol!

.......koh kooohh. Eid mubarak jamani wenye mkeka huu....vipi matokeo? Van-pesa imejibu?
 
Yamekuwa haya tena...
Wala usijali kaka, nadhan unatujua sie tukianza huwa tunaanzaje.
All in all, exp.yangu inaonesha mech za mwanzo siku zote huwa zinakua ngumu sana, kila team inakaza. Kama ambavyo mech za mwisho zinavokuwa. Wanasema, wat matters is hw u finish it na sio hw you have started.
BTW why asonols fans are so obssed na wachezaj wetu esp RVP? Inahuuuuu?
 
Ndio mnayajua hayo leo!? poleni
 
Ninyi mbona mlianza kutoa judgement ya arsenal squad katika game yetu ya kwanza tu na sunderland?Au hamkujua kwamba mwanzo ni mgumu kwa timu zote?mnasubiri baadae ndo mrudi katika form wakati RVP mmeshamvisha mhogo wake mguuni!
 
msimu uliopita huyu manywele jamaa ali2nyima ubingwa.jana tena kapiga bao bora babu angemnunua kuliko huyu rvp
 
Back
Top Bottom