Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ni kweli matokeo ya uwanjani hayaleti athari ndio maana wachezaji wote wakubwa wanakimbia klabuni kwetu.
woodward anavuta bangi
 
Nitakuwa mzembe maana hiyo game sisimuliwi niliicheki mwanzo mwisho tena kiBanda Umiza kabisa na sio kwenye stream

Off course sikuona au sikujua kuwa Robertson alijeruhiwa na Suarez
By the way hata mm nlisahau,milner hakuingia sub alianza tangu mwanzo na wala hakuingia kumreplace mtu yyte

Robertson aliumizwa na akaingia gini

Kwa hio milner alirudi nyuma gini akafanya kazi kati pale.
Screenshot hapo inaomesha sababu ya robbo kutoka
 

Attachments

  • 70F99566-6FA9-4F82-BA81-5129E766AAA4.png
    43.6 KB · Views: 27
  • F6409B63-7BFC-403D-9BC7-40EC065E4F9F.png
    53.6 KB · Views: 21
  • 1022B89A-B30C-442A-8386-ABC629459DB1.png
    47.5 KB · Views: 22
Itakuwa ni fedheha sana kama Pogba atakubali kucheza FUTUHI msimu ujao, yule ni mchezaj wa kiwango cha dunia. Kucheza futuh ni kumwaribia heshima yake.
 
Kwa nionavyo mimi sio kwamba ole au wenzake wale hawataki kusajili ...lakini embu jiulizeni ni mchezaji gani mwenye akili timamu za kimpira anaweza ielewa project ya bwan ed wood kwamba tunakusajili wewe ili ufanikishe hili maana sasa tupo hapa ?

Tunamlaumu Pogba kwamba anatukosea heshima hivi kauli kama hii “If I answer that just very simply and candidly, playing performance doesn’t really have a meaningful impact on what we can do on thecommercial side of the business" - Ed Woodward unawezaje kuwa na nidhamu na heshima kwa club ambaye ndio mtendaji wake mkuu anatoa maneno ya ajabu kuhusu uchezaji wa timu , utadhani iyo club ilikuwa kwasbabu ya biashara na sio sababu za kufanya vizuri kwenye mpira.

Hivi ni mchezaji gani wa maana anaweza kufurahia kusajiliwa united na partner wake kwenye ulinzi awe Phil Jones ?
Hivi Mata kwa umri wake ule si alitakiwa aruhusiwe aende ata China akajipatie vizuri kiinua mgogngo chake , ila et timu inayojisifu kwamba inajijenga upya imempa miaka miwili kubakia klabuni.

Kwa mtu aliecheza ata ndondo anajua kabisa pale unapokuwa na wenzako wanausaka mpira na wewe unajikuta unajituma na kuusakata vya kutosha , sasa ni nani anaweza kataa kucheza pembeni yake kuna Modric / Kross ? kushoto kwake juu kuna Hazard.

Namna pekee ya hii club kupona na iendelee kufeli ili athari za kibiashara zitokee apo ndo kina Ed wataanza kuona ujinga wa kauli zao na maamuzi ya kijinga wanayofanya. Msimu ujao nao tuwe wa sita au tushuke na daraja ili tuone kauli za kijinga kama zile zitakuwa za maana tena kwao.
 
Huyu wa kuua kabisaaa
 
I support this #glazzaout
 
Itakuwa ni fedheha sana kama Pogba atakubali kucheza FUTUHI msimu ujao, yule ni mchezaj wa kiwango cha dunia. Kucheza futuh ni kumwaribia heshima yake.
Kwa na yeye si kasababishia hio futuhi!!! Itakaua kajiharibia mwenyewe.
 
Belo hii makala kama una muda wa kutosha ungelituwekea japo kwa ufupi kwa lugha ya kiswahili kwa faida ya wote.
wacha nitafute kamusi langu nipate kuisoma hiyo taarifa
Alichoandika ndio ambacho tumekuwa tunalalamika hapa hivi karibuni in short amefanya tathmini ya mafanikio +matatizo ya Manchester United ndani na nje ya uwanja tangu timu imenunuliwa na Glazers Family.Jitahidi utafute dictionary usome
 
Tetesi ni kwamba Man u hawasajili sababu ya FFP wanasubiri msimu uishe, kuanzia july 1 tegemeeni hela kutumiwa ovyo ovyo.

Madrid wao wanasajili sana kubalance hela waliyopata ya ronaldo kabla msimu haujaisha.
 
Tetesi ni kwamba Man u hawasajili sababu ya FFP wanasubiri msimu uishe, kuanzia july 1 tegemeeni hela kutumiwa ovyo ovyo.

Madrid wao wanasajili sana kubalance hela waliyopata ya ronaldo kabla msimu haujaisha.
We jamaa mwongo
 
Ungeweka na ushahidi katika hii comment yako na sio kuanza kumshambulia kwa lugha Kali hivyo
Hii lugha si kali bhana, labda km umeamua kuipa ukali huo wewe binafsi. Hata hivyo siyo kweli kwamba Madrid anasajili ku-balance mahesabu au United hasajili sababu ya FFP. Kanuni haziilazimishi timu kusajili kubalance hesabu ina-case ina ukwasi mkubwa.
 
Ko jamaa anajifariji 😀
 
Sijui hata kama unaelewa unachokiongea,

Kukusaidia tu hii ni table ya FFP


The way inavyohesabiwa ni hela uliyonunulia mchezaji gawanya kwa mkataba wake, mfano tumemnunua pogba kwa 89m mwaka 2016 mkataba wa miaka 5, basi inavyohesabiwa ni roughly 17m kila mwaka mpaka 2020.

Miaka 5 iliopita man utd tumespend zaidi ya 600m kwenye wachezaji, tuna net spend kama 440m ukitoa wachezaji tuliouza. Kwa kusubiria hadi mwezi wa 7 tunakuwa tumecancel usajili wote uliofanywa na moyes na ule usajili uliofanyika world cup kipindi anakuja lvg, inamaana tutaanza usajili wa 2015/16.

So piga mahesabu Di maria, falcao, fellaini, Herrera, shaw, blind etc. Ukitoa hao net spend inakuwa ndogo sana.

At same time madrid ana net spend 26m tu compare na zaidi ya 400m yetu, ametuuzia Di maria miaka 5 iliopita, ameuza sana ndani ya hii miaka watu kama Ronaldo, danilo, jese, ozil etc akispend kabla ya 1 july anapata faida mbili, kutumia wachezaji wa zamani waliouza, na pia in future ikifika tarehe 1 july inahesabika mchezaji yupo msimu wa pili, hivyo miaka 5 inapita kirahisi.

Woodward hajui soka lakini Account anazijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…