Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,701
- 6,658
Hahahah jamaa kavurugwa kweliPogba kawa Mkinga wa makete mara hii
Smart guy
Hahahah jamaa kavurugwa kweliPogba kawa Mkinga wa makete mara hii
umesikia wapi?Naskia tumefikia agreement na AWB..
Sports xtra -Cloudsumesikia wapi?
Sio kweli tafuta ile video uiangalie acha hadithi za abunuasi na mfalme mwenye pembeLingard fala sana yule dogo kajipost yupo juu ya demu anakula mzigo kwenye snapchat
Wachezaji wa United last season wamekuwa outplayed hata nawachezaji wa hovyoMnaombeza Aron Wan Bissaka chekini alivowapigia mpira MUFC vs Crystal Palace
teh teh tehMnaombeza Aron Wan Bissaka chekini alivowapigia mpira MUFC vs Crystal Palace
teh teh teh
nimeiangalia video kwa sekunde 20 nimeachana nayo na si kwamba sina bando la kutosha.
mkuu nimegundua unashabikia liverpool baada ya kufanikiwa kuziona comment zako kwenye uwanja wenu wa anfield.
je Aron Wan Bissaka anamzidi trent alexander arnold kiuwezo?
naomba uwe mkweli kwenye majibu
msimu uliopita tumemtukana ashley young kwa kukosa kwake uwezo wa kushambulia hususan uwezo wa kupiga krosi za uhakika kuwa ni dhaifu cha ajabu tunamleta tena ndugu yake huoni kama ni kituko cha karne tunachoelekea kukifanya.
huo mpira wa kujiweka nyuma muda wote kama sungura mwenye mimba hata shomari kapombe anao uwezo wa kucheza style hiyo, unapolipa paundi millioni 50 kwa mlinzi wa pembeni anapaswa awe na sifa za kulinda na kupandisha mashambulizi kama walivyo walinzi wengine tuliowahi kuwashuhudia kama vile dani alves, marcelo wa misimu miwili iliopita, alexandro kutoka juve, robertson kutoka liverpool n.k
diogo dalot ana uwezo mkubwa wa kushambulia lakini uwezo wa kujilinda ni mdogo
ashley young amepoteza muelekeo (hawezi kulinda kwa nidhamu wala kushambulia)
aron wan bissaka uwezo wake ni kulinda tu.
kwa maarifa yangu dhaifu kwa mpira huu wa kisasa ujio wa aron wan bissaka itakuwa bado hatujatatua tatizo kwa sababu jukumu la mashambulizi litaendelea kubaki kwa winga.
kwa anayeamini ya kwamba aron wan bissaka atabadilika naomba abaki na imani hiyo mpaka ila mimi siamini kama jamaa atabadilika na sababu kubwa ni aina ya mwalimu tulienaye ni muumini wa pressing kwenye interview.
View attachment 1133351
hata sifahamu sababu halisi iliopelekea kuwekwa kwake benchi, ila ninachoamini mimi ni uoga wa klopp ndio ulipelekea ampe nafasi james milner.Unajua kwa nini ile game ya Anfield MUFCvs LFC Milner alianzishwa beki mbili na sio huyo Trent?
Your are so contradictingKwani hata fainali ya Ajax ile ya Europa si alifunga pia mkuu??
Gemu vs Mancity 3-2..ile perfomance vipi??
hata sifahamu sababu halisi iliopelekea kuwekwa kwake benchi, ila ninachoamini mimi ni uoga wa klopp ndio ulipelekea ampe nafasi james milner.