The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,144
- 8,024
Braza trust me...Man U..ina matatizo mengi...lakini wakiendelea kulilea hili tatizo ...watavuna mabua..the kid is getting bigger than the club ...which is not a good thing...hata ungekuwa unafunga kwa ulimi....ikifikia hatua unakuwa mkubwa zaidi ya Club..hamnaga turning point mzee...Solution huwa ni SELL...the club will prevail...walikuwepo wakali zaidi yake mzee...wakina Beckham(waliwafanya hadi wadada waipende Man u)...Roy Keane(wafia timu)...Nisterlooy(natural goalscorers ambao walikuwa na uwezo wa kufunga hata kwa mpira kupalaza soksi tu...Ronaldo(the real hardworker kid who was never satisfied with being the best....lakini hawa woote mzee walisepa....ilipofika point of no return....I THINK FOR POGBA THE POINT OF NO RETURN HAS REACHED..IT WILL BE WISE TO PART OUR WAYS...MAN U WILL REMAIN MAN U AND IT WILL SORT ITSELF..IF NOT NO W IN THE FUTURE.
Pogba kawa Mkinga wa makete mara hii[emoji23][emoji23][emoji23]Jitu jeusi, livivu, sura mbaya kazi kucheza dansi uwanjani, linahangaisha club kubwa kama Man u, huu ni ujinga wa kiwango cha rami aisee, sdhani kama huyu mkinga angekuwa Madrid, Barca au Bayern angeweza kufanya huu upuuzi .....daah
Kuna kipaji kipya cha mpira ukimwangalia uchezaji wake ni kama mesut ozil tofauti yy na ozil yeye ni mfungaji alafu anacheza mpira wa speed.. Anaitwa Kai havertz ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa ana miaka 19.. Ana magoli 11 kwenye ligi yao na assist 6 hivi ni raia ya ujerimani na ananipiga bayer leverkusen.. hapo man utd hatumuoni huyu kijana tulambe dume kwa bei ya kawaida.. he is very talented young player.. Pengine msimu ujao akitakiwa pesa ndefu itatumika kwa anaye mhitaji.. ningekuwa na uwezo ningepiga simu au ningeshauri tumchukue huyo kijana anacheza ligi kuu ya ujerumani aka Bundesliga... Wadau mtafuteni mulete ushuhuda me niliwahi muona mechi moja kwenye star times live match toka hapo nikasema nimfatilie anakipaji Sana huyo ni *Kai havertz*
If possible ungetaja specific game alizocheza vizuri kama unavyosemaAngalia gemu za ufaransa za sasa na hata za kwenye kombe la dunia : na hii inachangiwa na wachezaji wanaomzunguka.
Pia angalia gem kadhaa kipindi alipokuwa juve ambako kulikuwa na mastaa kibao tofauti na litimu letu ambalo eti staa ni lingard na rashford.
Lakin pia angalia gem za utd, anakuwa tofauti kabisa.
Na ili kuthibitisha hili, ngoja wamuuze , halafu utamuona anakoenda atakavyokuwa mchezaji mzuri.
If possible ungetaja specific game alizocheza vizuri kama unavyosema
Kante alichukua EPL na Leicester akachukua na Chelsea na amechukua WC na France kwenye statistics impact yake inaonekana.Pogba ni mchezaji mzuri lakini impact yake ni ndogo sana kwenye perfomance ya timu.Kama akibadilisha attitude yake Pogba anaweza kuingia hata top 3 kwenye Ballon Dor
Mbappe,Kante & Varane were the best 3 players for France in the World Cup
If possible ungetaja specific game alizocheza vizuri kama unavyosema
Kante alichukua EPL na Leicester akachukua na Chelsea na amechukua WC na France kwenye statistics impact yake inaonekana.Pogba ni mchezaji mzuri lakini impact yake ni ndogo sana kwenye perfomance ya timu.Kama akibadilisha attitude yake Pogba anaweza kuingia hata top 3 kwenye Ballon Dor
Mbappe,Kante & Varane were the best 3 players for France in the World Cup
Lingard anamuweka benchi messiTuna wachezaj wa kawaida mno kiasi kwamba jones anaeaza utd anakataliwa na leicester,na ukimtoa pogba,de gea na lindelfo nitajie mchezaji anaeweza kaa at least kukaa bench Man city au barca
World Cup Winner na fainal ya world cup alitupia goli mororoUnavyosema pogba anacheza vizuri akiwa FRANCE kuliko akiwa UNITED huwa unakuwa umetumia kigezo gani??
Messi wa Tandale kwa Tumbo.Lingard anamuweka benchi messi
Inawezekana Pogba ameona Man Utd kushinda kikombe ni ndoto za alinacha.timu yeyote dunian haiwezi shinda epl au kombe lolote kubwa likiwa na martial,rashford kama washambuliaji huku beki n young,smalling na jones
huyo pogba hata angepigana vip hatuwezi shinda kwa sababu ya wachezaji tulionao n wa kawaida sanaaaaaaa
tuna wachezaji wawili tu wa viwango vya dunia
pogba na de gea
wengine wote wanafaa kuchezea leicester aston villa na wengine kama kina lingard hao n wa league 2 ufaransa huko
Kwani hata fainali ya Ajax ile ya Europa si alifunga pia mkuu??World Cup Winner na fainal ya world cup alitupia goli mororo
Unamaanisha Ramadhani Singano siyo?Lingard anamuweka benchi messi
He is not loyal to the club,it's better to sell him. Tena kama kuna timu nyingine zinazomuhitaji auzwe huko na siyo Madrid kunakofanya aikosee klabuUlichoongea kipo sahihi, na hata kama club itamuuza kwa kauli ya jana ni sawa, lakini siyo kusema hana kiwango. Pogba ni mchezaji mkubwa
Ni lini aliwahi kujituma tangu afike? Tatizo lingine yule mchezaji anajiona bado mtotoInawezekana Pogba ameona Man Utd kushinda kikombe ni ndoto za alinacha.
Ameona asepe akabebe makombe kwingine.