Watu hawataki kuukubali huu ukweli mchungu, unajua ukishajua tatizo ni rahisi sana kulikabili, Tatizo kuu lipo hapa..over
Mbona akienda timu ya taifa ancheza vizuri, mbona juve alikuwa anacheza vizuro, kwanini aonekane mbovu kwa man u tu?We sack José Felix Mourinho because of this cnut
View attachment 1129443
Unavyosema pogba anacheza vizuri akiwa FRANCE kuliko akiwa UNITED huwa unakuwa umetumia kigezo gani??Mbona akienda timu ya taifa ancheza vizuri, mbona juve alikuwa anacheza vizuro, kwanini aonekane mbovu kwa man u tu?
Yale yale ya mourinho. Tutamuondoa pogba na baada ya muda tutagundua yeye hakuwa tatizo
Angalia gemu za ufaransa za sasa na hata za kwenye kombe la dunia : na hii inachangiwa na wachezaji wanaomzunguka.Unavyosema pogba anacheza vizuri akiwa FRANCE kuliko akiwa UNITED huwa unakuwa umetumia kigezo gani??
Swala la kumuuza Pogba then mimi nishuhudie kiwango chake hilo silihitaji,maana najua pogba ni mchezaji mzuri na hata akiwa man united amedhihirisha hilo na stat zinaongea....Ninachokataa ni kusema Pogba anacheza vizuri sana sana akiwa FranceAngalia gemu za ufaransa za sasa na hata za kwenye kombe la dunia : na hii inachangiwa na wachezaji wanaomzunguka.
Pia angalia gem kadhaa kipindi alipokuwa juve ambako kulikuwa na mastaa kibao tofauti na litimu letu ambalo eti staa ni lingard na rashford.
Lakin pia angalia gem za utd, anakuwa tofauti kabisa.
Na ili kuthibitisha hili, ngoja wamuuze , halafu utamuona anakoenda atakavyokuwa mchezaji mzuri.
Basi mimi ninamuonaga akicheza vizuri zaid akiwa na timu ya taifa kuliko man u, na huwa anajiachia na kuwa na confidence kubwa akiwa national team, lakin akiwq man u anashindwa kunyumbulika vizuriSwala la kumuuza Pogba then mimi nishuhudie kiwango chake hilo silihitaji,maana najua pogba ni mchezaji mzuri na hata akiwa man united amedhihirisha hilo na stat zinaongea....Ninachokataa ni kusema Pogba anacheza vizuri sana sana akiwa France
Huyu mtoto hatufai
Kusema kweli tetesi za usajili za man u zinakera sana.
Zinanikumbusha enzi za arsenal ya Wenger ilikuwa ukifika msimu wa usajili kila mchezaji anahusishwa na Arsenal.
Mwaka 2013 ilihusishwa na wachezaji wengi sana halafu ikaishia kumsajili TAKUMA Kkutoka Japan na kumtoa kwa mkopo hapo hapo.
Wachezaji wanaohusishwa kutakiwa na man united wamepaa sana sokoni kiasi cha kuifanya hata hiyo 200£ ya Woodward itoshe kununua wachezaji watatu tu DJ inclusive.
Tumemkosea nini Mungu wadau ?
Kwenye transfer hapa Ed hawezi shinda.Kazi kweli kweliView attachment 1130079
Kwani scout wa Man u hawajaona mtu mwingine ?Kazi kweli kweliView attachment 1130079
Woodward miyeyusho sanaHio £200 million za usajili hata mimi sidhani kama hiyo hela ipo kweli. Kwa tetesi tu MUFC inatisha, mara Maguire mara Bissaka mara Felix mara Bruno
Halafu kama kweli hiyo pesa ipo kungekuwa kumeshafanyika major signing ila hamna kitu kama hicho
Mimi namuona pogba ni mchezaji hatari kwa afya ya Man U.Basi mimi ninamuonaga akicheza vizuri zaid akiwa na timu ya taifa kuliko man u, na huwa anajiachia na kuwa na confidence kubwa akiwa national team, lakin akiwq man u anashindwa kunyumbulika vizuri
Kwq mfano, timu inashambulia na unamuona pogba ameingia kwa kasi na anataka kutoa pasi ya kumtangulizia mtu, lakin ma striker wetu hawajiongezi. Hivyo pogba anajikuta kazungukwa na watu na wanamkaba mpira na sisi tunamlaumu kwamba hachezi vizuri, na hata yeye anakosa confidence ya kusogea na mpira.
Lakin akienda timu ya taifa, anamuangalia mbappe, griezman na mastriker wengine ambao wako sharp na wanaisoma akili yake. Hiyo inamuongezea confidence kubwa sana ana anajikuta anacheza vizuri.
Kama tulivyomuona mou na baadae tumegundua kumbe mou hakuwa kirusi kama tulivyodhaniMimi namuona pogba ni mchezaji hatari kwa afya ya Man U.
Mbona akienda timu ya taifa ancheza vizuri, mbona juve alikuwa anacheza vizuro, kwanini aonekane mbovu kwa man u tu?
Yale yale ya mourinho. Tutamuondoa pogba na baada ya muda tutagundua yeye hakuwa tatizo