Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Alipokuwa juve, alikuwa anachukua ndoo za italia

Akiwq timu ya taifa, kafika fainali ya euro na pia kachukua world cup

Akiwa man u anaonekana hajui kitu, na wakati kila mtu anajua kwamba pogba hajazungukwa na word class players kama yeye pale OT.

Hii case ni kama ya Lukaku( mzuri akiwa national tim na mbovu akiwq Utd)

Ngoja pogba aondoke ndipo tumtafute mwingine anayeiharibu utd
 
Sijui umetumia vigezo gani kumlinganisha na hao wachezaji hapo juu wakati ni vitu tofauti kabisa. Pogba ktk namba 6 work rate naamini kazidiwa na viungo wote Wa epl hadi Wa timu zilizoshuka daraja. Ni mchezaji asiyejituma kabisaaaa hata scot mctominay huwezi mlinganisha nae kabisaaaa
 
Kleberson, Anderson, Teves, Veron hawaku-flop. Walikuwa vizuri tuu. Veron majeraha, Teves ni nidhamu
Mkuu umeelewa swali kweli??? Nimekwambia na sisi tukutajie walioflop ?? Wewe unanitajia wachezaji unaojua wewe..


Narudia tena kuuliza "NA SISI TUKUTAJIE WALIOFLOP"
 
Mkuu umeelewa swali kweli??? Nimekwambia na sisi tukutajie walioflop ?? Wewe unanitajia wachezaji unaojua wewe..


Narudia tena kuuliza "NA SISI TUKUTAJIE WALIOFLOP"
Chief hatulumbani, km wapo si unawataja alafu tuna-argue tuu, shida ipo wapi? Hauna sababu ya kuniuliza, ni uhuru wako kutoa ambacho akili yako inakuonesha kipo sawa.
 
Nyie mnaleta mzaa.
 
Ila hata OGS na he's too cool hata basi kutoatoa vitetesi tufarijike katulia tuliii Mou hapo ungeona mikwara yake
 
Ila hata OGS na he's too cool hata basi kutoatoa vitetesi tufarijike katulia tuliii Mou hapo ungeona mikwara yake
Nafikiri OGS naye kaanza kupata wasi wasi juu ya utandaji kazi wa Woodward katika usajili.

Ikishindikana kupata target zake hata kwa wachezaji wa kawaida atatamani kuikimbia club maana atakuwa kwenye sacking zone ya Woodward.
 
Siwezi kumlaumu sana Pogba kwani ana miaka mitatu sasa tangu tumchukue toka Juventus kila msimu anaonekana wa kawaida kwa kucheza na vilaza then mwisho wa siku lawama zote kwake. Usajili unaofanyika United ni ucheshi na timu haina malengo kabisa

Sitashangaa kama ataenda Madrid
Timu inatutesa sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…