Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Nani kakwambia hicho ndio kikosi cha uingereza ?
Huyo dogo ni mzigo ambao MUFC imebebeshwa. Cha ajabu Utetezi wake utaambiwa huyo ni zao la academy ya Utd
Unazungumzia Timu ya Taifa ya Uingereza?
Hivi huoni kuwa Timu ya England ukishaweza kupiga Danadana 3 tu basi uhakika wa Namba unao?
Sasa kwa Kikosi kama hichi ↓↓ Lingard atakosaje kuaminiwa unadhani?
View attachment 1122335
Sasa mkuu huyo southgate unamwona yupo perfect sana ya timu yake ya uingereza??Mbona Gareth Southgate bado anamwamini Lingard ?
After all Man united kwa sasa kumlaumu individual player tunakosea timu nzima iko katika hali mbaya too disorganized lakini majeraha ya Mara kwa Mara
Jifunze kuweka akiba ya maneno.Mchezaji anagoli 4 sijui na Assist 7 in CHAMPIONSHIP what can help do in EPL Inasikitisha sana
Hahaha acha tu mkuu, kuna game moja ya chelsea na manure alichezesha tulilimwa red mbili na kumzawadia chicharito goli la offside. Ile gemu tulipigwa 3-2 lakini manure walionja joto la juaKina Web HAHA nakumbuka alikuwa akichezesha game yenu chelsea vs man u bas jua chelsea umeme unawahusu
mkuu sidhani kama hii habari ni ya utani.Transfer news and rumours LIVE: "Man Utd consider move for Dier as Matic replacement"
Huu sasa utani
Hapo Declan Rice wa west ham ndo atafitmkuu sidhani kama hii habari ni ya utani.
ukizifuatilia hizi tetesi zinavyokwenda mpaka muda huu kama kweli man utd inahitaji kutafuta namba 6 wa kuziba nafasi ya nemanja matic mwenye nafasi kubwa ya kusajiliwa ni mchezaji wa kiingereza.
- eric dier = tottenham hotspurs
- declan rice = west ham united
- bruno fernandez : kiungo mshambuliaji
- rabiot : hayupo vizuri eneo la ulinzi
- thomas partey :tetesi zake zimeshafariki
- ndombele : tetesi za kutakiwa man utd zimeshafariki kitambo
twafaaaa 🙂🙂
Haha hiyo game ya red card2 naikumbuka vizuri mlikuwa mmewashika ile mbayaaa oscar alikuwa moto hiyo siku dah hizo red card hata hazielewekagi zilitoka toka vipHahaha acha tu mkuu, kuna game moja ya chelsea na manure alichezesha tulilimwa red mbili na kumzawadia chicharito goli la offside. Ile gemu tulipigwa 3-2 lakini manure walionja joto la jua
Nakumbuka na ile game ya semi final dhidi ya Barca dah! Web ilikuwa wazi aipendi chelsea.
Watafutaji wa wachezaji sidhani km wanasajili kuendana na phalasapha ya mpira wa Man UtdTatizo, la hao Mediocre players, ni kubwa sana.
Wapo wengi ( young, jones,darmian, lingard nk)
Wachezaji tunaonunua kuja kuingia first team (kuimprove kikosi), wengi wao kama sio wote WANASHUKA VIWANGO VYAO tofauti na walikotoka.
Unanunua mchezaji kama mikitariyan, unamlipa mfano pauni 100,000p/w. Backup yake ni lingard unayemlipa mfano pauni 75,000p/w. MIKI anacheza miezi sita ,baada ya hapo anaflop, matokeo yake unamuanzisha lingard,.
Mojakwa moja hapo utakae anza kumuondoa ni MIKI unayemlipa pesa nyingi. Huwezi ukamuondoa lingard then ubaki na flop.
Hii iko hivyohivyo hata kwa positions nyingine, Young, jones , Smalling ,wapo mpka leo sababu Rojo, bailly na Darmian wameshishwa kuderiver kama tulivyotarajia.
Ninachojiuliza mpka sasa ni kwa nini wachezaji tulionunua kwa kipindi hiki cha miaka 5 , toka SAF ameondoka, wengi wanaishia kuwa flops?
declan rice ana utofauti gani na scott mctominay?Hapo Declan Rice wa west ham ndo atafit
Ana nguvu na spidi na pasi zenye machodeclan rice ana utofauti gani na scott mctominay?
Dier wanini? Hilo zigo linginemkuu sidhani kama hii habari ni ya utani.
ukizifuatilia hizi tetesi zinavyokwenda mpaka muda huu kama kweli man utd inahitaji kutafuta namba 6 wa kuziba nafasi ya nemanja matic mwenye nafasi kubwa ya kusajiliwa ni mchezaji wa kiingereza.
- eric dier = tottenham hotspurs
- declan rice = west ham united
- bruno fernandez : kiungo mshambuliaji
- rabiot : hayupo vizuri eneo la ulinzi
- thomas partey :tetesi zake zimeshafariki
- ndombele : tetesi za kutakiwa man utd zimeshafariki kitambo
twafaaaa 🙂🙂
Mengine huwa nabaki kucheka tu, ukimchukia mtu hata afanye nini utaona wa ovyo tu. Lingard Vs Wekbeck!!!?Bora tungengebak na welbeck kuliko huyo lingard
unamzungumzia declan rice yupi?Ana nguvu na spidi na pasi zenye macho
Bora tungengebak na welbeck kuliko huyo lingard
Mengine huwa nabaki kucheka tu, ukimchukia mtu hata afanye nini utaona wa ovyo tu. Lingard Vs Wekbeck!!!?
unamzungumzia declan rice yupi?
ninayemkusudia mimi ni yule aliyezaliwa tumbo tofauti na jordan henderson wa liverpool lakini tabia zao zinafanana.
Mimi ni shabiki lialia wa timu ya Malkia hapo kuna wachezaji 6 hawana Namba kwenye timu yangu ya taifa ...Nani kakwambia kama hicho sio kikosi cha Uengereza? Labda tuanzie hapo!
Aliyekosekana katika hicho kikosi ni Kane, Henderson na Bamidele tu.
Lakini waliobakia wote ndiyo kikosi tegemewa