Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha hao ndiyo Wanapaswa kuondoka kabla ya kuanza kukusanya maana ukimuangalia Darmian, Rojo na Phil Jones msimu wa tatu sasa hawajawahi kucheza zaidi ya mechi mbili mfululizo
nani anawahitaji?
wanalipwa mshahara kuanzia paundi laki moja
 
Hii comment ni moja ya comment bora kabisa kuwahi kutokea karne hii
 
Gaucho alikuwa anakula bata zaidi ya huyo Neymar na uwanjani anapiga kazi kama kawa... Gaucho amewahi sema alikuwa lazima apitie Mtoto kabla ya kwenda kiwanjani
 
Nadhani kuvunja nao mkataba ingekuwa statement tosha kwamba Man Utd inajisafisha.

Ila kuendelea kuwakumbatia ni aibu kwa club kubwa kama United.
 
Nadhani kuvunja nao mkataba ingekuwa statement tosha kwamba Man Utd inajisafisha.

Ila kuendelea kuwakumbatia ni aibu kwa club kubwa kama United.
tatizo jengine linakuja united hawana uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji zaidi ya watano kwa msimu mmoja ndio maana wanahangika kuwapa mikataba wachezaji kama ashley young, juan mata kwa mwaka mmoja mmoja zaidi.

ujinga ni kumpa mkataba mpya wa muda mrefu phil jones ndipo walipochemsha, jamaa uwepo wake hauna faida yoyote wala athari yoyote, alipaswa aondoshwe then mshahara wake uongezwe kwa mchezaji ajaye.
smalling + bailly + lindeloff + new signing + tuanzebe = wanatosha kwa msimu mmoja
 
Toka 2015 Man umUtd ina wachezaji 18.

How Pathetic this club has become.
 
Toka 2015 Man umUtd ina wachezaji 18.

How Pathetic this club has become.
sidhani kama miaka minne ni mengi sana bali watu wa media wanataka kutuaminisha huo pia ni udhaifu wa klabu kuwa na wachezaji wengi waliodumu kwa muda mrefu.

ryan giggs, beckham, neville brother, scholes, ferdinand, carrick, rooney, wote hao walitumikia klabu kwa muda mrefu lakini wakiwa kwenye ubora unaoeleweka.
tatizo ni kwamba hao wa kwetu sisi viwango vyao havieleweki lakini ingelikuwa wana viwango vya juu hiyo hoja ya kukaa muda mrefu klabuni ingeligeuzwa na kuitwa faida.

maisha yote mshindi ndiye anayeandika historia na kwa sasa sisi ni washindwa hivyo basi acha tuendelee kutukanwa.
 
Mkuu uko sawa kabisa... Ukirejea list ya walioondoka na waliopo sasa hatupati hata droo, mfano:-
1. Ben forster
2. Rafael
3. Buttner/Evra
4. Mcnaire
5. Evans
6. M.Sneiderlin/ Fellain
7. Di maria/ Januzaj
8. Herrera/ Clavery
9. Chicharito/ Macheda
10. Rvp/ Welbeck
11. Depay
Achana na akina Rooney, Zlatan, Anderson, Gibson, Falcao n.k
 
Naamini tukinunua wachezaji wa kutosha nafasi zikaenea vizuri,hata kwa mkopo tutawatoa tu.
Kesi yangu mimi ni rashford kuwa main target kwenye mashambulizi,nitaumia balaa.
Dah huyo dogo ni janga, ni mzuri lakini sio clinical striker. Sidhani kama dogo anaweza kukupa hata goli 20+ kwa msimu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…