Nilaangalia Jana mechi mbili ambazo Tahith Chong alikuwa anacheza so aggressive and so creative sasa kumletea huyu swala itambana tu .Eti swala
Mkuu bado unapenda usajili wa Galacticos
Chong anahitaji angalau msimu 1 au 2 aende mkopo japo hata akibaki klabuni na kupata mechi kadhaa sio mbaya
Daniel James ana potential ya kuwa mchezaji mzuri sanaHahahaha. Siioni tofauti yake na Chong
Kuhusu Messi, Ronaldo, Pele, Rooney, Neyamar ni exceptional cases mkuuNilaangalia Jana mechi mbili ambazo Tahith Chong alikuwa anacheza so aggressive and so creative sasa kumletea huyu swala itambana tu .
Mbona Barcelona walimwamini Messi akiwa 17 tu ?
Daniel James ana potential ya kuwa mchezaji mzuri sana
Kung'ara championship sio mchezo, ile ligi ni ngumu halafu mabeki wapo very agressive
Cha msingi tufahamu kwamba kusajili mchezaji yoyote wa miaka chini ya 21 ni gamble na ndio maana Jose alikuwa anapenda proven players
Cha msingi tusajili na wachezaji wengine tusiishie kwa akina Daniel James tu
Kuhusu Messi, Ronaldo, Pele, Rooney, Neyamar ni exceptional cases mkuu
Huu usajili wa James unashindwa kuamua ama ufurahie au ukasirike zaidi,ila kuna tetesi kuwa bruno fernandez naye atatangazwa baada ya michuano ya ulaya kuisha.
Yaani hawa vilaza ndo wanaoniboa zaidi aisee..sitaki hata kuamini kwamba msimu ujao bado tutakuwa naousajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.
kama tungelikuwa ni waumini wa pressing style basi huyo swala angelitufaa sana
tuachane na hizi habari za ujio wa wachezaji wapya watakaowasili klabuni, hivi hawa vilaza wetu kama vile matteo darmian, ashley young, phil jones, marcos rojo, jesse lingard, mata, alex sanchez tutamuuzia nani?
wenzetu liverpool wameshasafisha mtaro wao kwa kumuondoa daniel sturridge na albert moreno pia huenda wakamuuza nathaniel clyne
Chong anahitaji development kidogo..hata physically bado anahitaji improvementEti swala
Mkuu bado unapenda usajili wa Galacticos
Chong anahitaji angalau msimu 1 au 2 aende mkopo japo hata akibaki klabuni na kupata mechi kadhaa sio mbaya
Kulikuwa na WC 2016 au mnataniana?Ninaweza kubisha ila sina fact kuhusu Wc 2016 lilichezwa wapi. Nikipata nakuita tubishane.
Naamini tukinunua wachezaji wa kutosha nafasi zikaenea vizuri,hata kwa mkopo tutawatoa tu.usajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.
kama tungelikuwa ni waumini wa pressing style basi huyo swala angelitufaa sana
tuachane na hizi habari za ujio wa wachezaji wapya watakaowasili klabuni, hivi hawa vilaza wetu kama vile matteo darmian, ashley young, phil jones, marcos rojo, jesse lingard, mata, alex sanchez tutamuuzia nani?
wenzetu liverpool wameshasafisha mtaro wao kwa kumuondoa daniel sturridge na albert moreno pia huenda wakamuuza nathaniel clyne
Hata kama tunechoka huwezi kumlinganisha Daniel James na Chong!Hahahahaha, ila kweli wakati mwingine naona ni bora kuwekeza kwa Tahith Chong kuliko huyu swala
Chong anahitaji development kidogo..hata physically bado anahitaji improvement
huwezi kukimbilia kujaza wachezaji klabuni haliyakuwa waliopo hwajapata sehemu ya kujisitiri, kufanya hivyo ni kuongeza kiwango cha gharama za matumizi ya mishahara.Yaani hawa vilaza ndo wanaoniboa zaidi aisee..sitaki hata kuamini kwamba msimu ujao bado tutakuwa nao
ukiwatoa kwa mkopo bado hujaondoa tatizo kwa sababu bado utaendelea kuwalipa mishahara ya utumishi waoNaamini tukinunua wachezaji wa kutosha nafasi zikaenea vizuri,hata kwa mkopo tutawatoa tu.
Kesi yangu mimi ni rashford kuwa main target kwenye mashambulizi,nitaumia balaa.
Mashabiki wa Manchester United tumekumbwa na ugonjwa wa Upofu hatujui nini tunataka ... Mpaka sasa hatujui sababu ya kuyumba timu ni nini :Ed Woodward has nothing to do with their flop.. Only poor management and coaching ndiyo vilivyofanya waflop.
usajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.
kama tungelikuwa ni waumini wa pressing style basi huyo swala angelitufaa sana
tuachane na hizi habari za ujio wa wachezaji wapya watakaowasili klabuni, hivi hawa vilaza wetu kama vile matteo darmian, ashley young, phil jones, marcos rojo, jesse lingard, mata, alex sanchez tutamuuzia nani?
wenzetu liverpool wameshasafisha mtaro wao kwa kumuondoa daniel sturridge na albert moreno pia huenda wakamuuza nathaniel clyne
james mbio nyingi ndiye aliyesajiliwa mkuu.Et nimeona James kufanya vipimo man u,ni James gn?
Anatokea wp?james mbio nyingi ndiye aliyesajiliwa mkuu.
dogo amekazana kama shaqiri wa liverpool