Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??
Man United ilishasajili Di Maria kutoka Madrid, Pogba kutoka Juve, Ibrahimovic kutoka PSG, Schwensteiger kutoka Bayern, je wameifanyia nini United??
Shida jamaa hawataki kuuza timu...na wanaotakiwa kununua wawe waarabu kama yule mfalme wa saud arabia, wale wana hela, mansour cha mtoto kwa yule jamaaKwahio huyo robertson ndo anafaaa? Hao wachezaji uliwataja hawajawaahi kufika fainali champions league?
De light nasikia mlisema mwanzoni kwamba atakuja kua mnene tipwatipwa tetema..leo anatakiwa na klabu kubwa duniani..
Man utd bora inunuliwe tu ipate mwekezaji mwenye akili kama shekhe mansour na kocha anayejielewa kama pep
Tumetokea kuwa timu moja ya kawaida sana sana. Aibu sana hiiKwahio huyo robertson ndo anafaaa? Hao wachezaji uliwataja hawajawaahi kufika fainali champions league?
De light nasikia mlisema mwanzoni kwamba atakuja kua mnene tipwatipwa tetema..leo anatakiwa na klabu kubwa duniani..
Man utd bora inunuliwe tu ipate mwekezaji mwenye akili kama shekhe mansour na kocha anayejielewa kama pep
Tumetokea kuwa timu moja ya kawaida sana sana. Aibu sana hii
Shida jamaa hawataki kuuza timu...na wanaotakiwa kununua wawe waarabu kama yule mfalme wa saud arabia, wale wana hela, mansour cha mtoto kwa yule jamaa
Simkumbuki jina lake...wadau watamsema...ila jamaa aliweka mezani dau la maana haswa, sema ndy hivyo ile family walikataaa au pengn kuna mambo hawakuafikiana!! Hawa Glazer family labda ni wanataka tu kumlindia heshima mzee wao hlf pia ni kama vile wanaitegemea sana klabu kimapato pamoja na kwamba ni wafanya biashara wakubwa kuacha mpiraIla mara ya mwisho yule mwarabu shekhe anaitwa nani alishaweka dau mezani kwamba anataka kuinunua sijui ikaishia wapi
ACHENI KUTUMIA OUR PLAYERS AS AN EXAMPLE OUR PHILOSOPHY ARE NOT THE SAME .................Ndio maana mnazidi kufeli.Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??
Man United ilishasajili Di Maria kutoka Madrid, Pogba kutoka Juve, Ibrahimovic kutoka PSG, Schwensteiger kutoka Bayern, je wameifanyia nini United??
Sasa hiv ukisikia mchezaji mkubwa anaenda utd ,unajua anaenda kufel maana hawana philosophy ,ACHENI KUTUMIA OUR PLAYERS AS AN EXAMPLE OUR PHILOSOPHY ARE NOT THE SAME .................Ndio maana mnazidi kufeli.
stick to the pointHahaah acha kunichekesha...di maria aliondoka kaenda kua lulu huko psg, ibra unasema hajafanya kitu au kuiletea kitu man u,
kusajili wachezaji wenye potential kwa pesa ndogo hiyo ndo falsafa yetu sasa sijui ulikuwa unataka kusema nini.ACHENI KUTUMIA OUR PLAYERS AS AN EXAMPLE OUR PHILOSOPHY ARE NOT THE SAME .................Ndio maana mnazidi kufeli.
Anakuja kustaafia united!Naskia Ramos Kaomba kuondoka Madrid anataka kuja UTD.
Hawa ndio wanaume ,sasa hivi mmejaza wavulana kibao hata hawajitambui .The Class Of 99. The treble winners. 20 years on.View attachment 1108748
wachezaji hawanunuliwi kama vocha it's all about process, hakuna msimu umepita bila United kusajili just relaxNashngaa hakuna transfer in yoyote Trafford are we kidding?
Tumeshachoka...fikiria new castle ishanunuliwa ..waache waendelee kulala..eti usajili unasajili kutoka swansea city..halafu unategemea utaenda champions league
Mimi nina tumaini we will raise again,this giant is just sleeping not deadSiku zinavyozidi kwenda kunazid kuyoyoma humu!! Watu wanapita zao kwa unyonge sana wanasoma comments kama zipo aone kama hata tumesajili, asipokuta chcht ndy hvy anaondok kasononeka moyon!! Man u fans wamenyongonyea sana ndani ya mioyo yan hawana furaha hata tone kweny mpira!! Yan ni kama yatima fln hiv
Liva anacheza zake final na tot, sipati picha ingekua ni Man U; ila ndy hivy tulikungutwa tukatoka!! Yan kifupi Fans wanazid nyongonyea tu mbele ya timu zingn
Kweny yuropa, Fans Wengn wa man u wanataka Arsenal abebe, wengn chelsea yan ni vituko!!
Kama tumetengwa hiv na club zingn! Hakuna dira wala nn! Tumenyongonyea sana kwa kweli!!
Mara wazeee ndy wanaletwa, panga pangua tu, mbaya zaidi hakuna mchezaji aliyeonesha nia ya kuja kucheza Man u amby ni mkubwa hiv
Comments zina huzuni tu daily..dah!!
Uvumi mwingi magazetini kuihusu man united si wa kweli unatengenezwa kukuza soko la wachezaji tu.
nimemuona dyabala, suso na eric lamela wa zamani kwa wakati mmoja humu ndani.
hivi ndio vipaji vya kutuma paundi millioni 60 na si wilfred zaha.
hivi ndio vipaji vinavyopaswa viwepo klabuni na sio lingard haijalishi watakuwa wachezaji wa hakiba.
hivi ndio vipaji vinavyopaswa kutishia kuondoka endapo hawataongezewa mshahara na si rashford.
nimesikia tottenham hotspurs wametuma offer ya paundi millioni 45 kwa huyu kijana kutoka real betis.
anahitaji mazoezi ya kuimarisha mwili zaidi ili aendane na vishindo vya uingereza wazee wa mbavu kwa mbavu.
kazi kwetu, nimeshaanza kutafuta kadi ya newcastle united.
huyu atakuwa ni mchezaji wa 90 kuvumishiwa anatakiwa man utd.
tetesi FC oyeee