Nimewaangalia wale wazee jana kwa kweli hii timu ina safari ndefu sana yaani tumepotea sana tena sana kama yorke na beckham wanaweza kucheza kama lukaku mwenye miaka 25 kazi ipo
Beckham jana alikuwa ananimwagia majalo ile kiroho mbaya..Stam hajui hata kama ni friendly..yaani kazi kazi hawa watoto wana la kujifunza kutoka kwa hawa wakongwe
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
Ni sahihi ila alikuwa na mkono wake hapo. Ma meneja wengi walikuwa bado wapo vibaruani so ilikuwa ni ngumu kuwapata na pep hakutaka kuja, nshawahi msikia yeye mwenyewe tena anasema ascent ya feigie ilikuwa ni ngumu sana kumuelewa hata anachoongea.
Pep sio kwamba hakutaka kuja. wakati wanakutana, Pep hakuelewa kuwa Fergie alimpa hint ya kujiunga na MUFC, hii ni kutokana na accent ya Fergie na Pep anasema jamaa anaongea kwa haraka. Scottish accent hata kidog kidogo lazima ikupige chenga ikiwa English is your second language.