Juve wanachukua kombe la ligi mara ya 8 mfulululizo halafu eti utumie hicho kigezo kwamba ni kocha boraAllegri mara 100 na Benitez.. watu wanatishwa na JeeP kifuani.
Ngoja tuone.. Hapa ndipo tutajua OLE anataka timu ya aina gani.Yah ZAHA mnaenda kupigwa tena zaidi ya £ 70 ml hahahahahahahahah
Unaweza kuniambia kwa market ilivyochafuka sasa mbadala Wa Zaha??Zaha? Utoe £100M kwa ajili yake?
Wakati kwa hiyo hela unapata wachezaji watatu wazuri?
Zaha ni star wa timu ndogo na sio wa United.
Yaani united ya wakina Cr7, Rooney 10, Berb09 , n.k
Leo tunahusishwa na Zaha ???
Eeeh mungu tusaidie
Arsenal wako mbele kumhitaji Zaha.. kuna tetesi wako tayari kutoa wachezaji wawili + pesa ili wamchukue.
Hakim Ziyech pia amesema anapenda kucheza Arsenal na yuko tayari kuondoka pale ajax.
Kweli.. hiyo £100/80M kwa Zaha bora tukusanye hata watano ambao watacheza wanalia uwanjani kuliko huyu mhuni.
Atakuwa kama Pogba tu, atatusumbua.
Yah ZAHA mnaenda kupigwa tena zaidi ya £ 70 ml hahahahahahahahah
Afu pia Zlatani alikuja bure pale (Utd free transfer) Mkataba wake ulikuwa umeisha psg akagoma kuongeza......Huyo Zlatani (35) unayemponda, ndio striker aliyefunga Magoli mengi pale United kuliko striker yoyote kwa msimu tangu aondoke Van Persie (29). Na hapo aliumia kabla ya msimu haujaisha
Embu nitajie ni wachezaji wangapi kwenye ligi ya Uingereza waliofunga magoli zaidi ya 29
Zlatan ameondoka, amewaachia vijana nafasi akina Lukaku, Rashford, Martial, wamefunga Magoli mangapi kwa msimu huu, au uliopita. Hakuna cha maana. Angalau hata Lukaku anajitutumua.
Ukiondoa Matic, Sanchez niambie hao wengine wenye umri unaoupendekeza wewe, wameifanyia nini United? Niambie aliyekuwa na 27 alifanya nini, niambie Bailly aliyekuwa na 22 amefanya nini? Vipi kuhusu Pogba (24), Dalot na wengine?
Kwa kigezo chako cha umri, mazingira yakiruhusu usajili Messi (32), Ronaldo (33), Griezeman (28), Aguero n.k utakataa kuwasajili na badala yake utamchukua Odoi, Rashford eti kwa sababu wao ni wadogo? Magoli watakayofunga hao jamaa "wazee" ndani ya misimu 3, itawachukuwa hawa "watoto" pengine carrier yao yote
Mkuu ukiona kimya, ujue hamna jipyaHvi hzi tetesi za usajili hatujadaka hata mmoja ??
Kwa mkwanja uliopo wa usajili huwezi kuleta Zaha kwa £100M mkuu.. maana yake nafasi nyingine zibaki kama zilivyo bila usajili.Home grown talents
Wenye njaa na mafanikio!
Hapo kwenye home grown talents, unamtoaje Zaha?
Kinachomhukumu Zaha pengine rangi yake tu!
Lakini he is one of the best attackers kwa sasa!
Tuache mazoea ya kusema Zaha ni mchezaji Wa timu ndogo!
Ameondoka united akiwa na miaka 21
Nafikiri, maturity ni kubwa sana kwa sasa!
Kuna kipindi Martial alikaa fom vzr zaidi hata ya huyu Zaha.. simkatai zaha ila hawa wote homa za vipindi tu.Zaha ana kitu kikubwa sana!
Hasa kwa umri wake
Man Utd akinunua Zaha kwa £100m, ina maana atatoa £75m kwa kuwa alipomuuza Cristal Palace aliweka clause ya kupokea 25% ya mkwanja endapo Zaha atauzwa tenaKwa mkwanja uliopo wa usajili huwezi kuleta Zaha kwa £100M mkuu.. maana yake nafasi nyingine zibaki kama zilivyo bila usajili.
Huyo zaha ili afiti anahitaji viungo wazuri na isitoshe namba anayocheza zaha kuna Sanchez + Martial.
Tulete watu kama Eriksen, Maddison, Ziyech, Maguire, Pepe, Jota, Ghana.. Then ndio tumuwazie huyu Zaha.
umemaliza kila kituKwa mkwanja uliopo wa usajili huwezi kuleta Zaha kwa £100M mkuu.. maana yake nafasi nyingine zibaki kama zilivyo bila usajili.
Huyo zaha ili afiti anahitaji viungo wazuri na isitoshe namba anayocheza zaha kuna Sanchez + Martial.
Tulete watu kama Eriksen, Maddison, Ziyech, Maguire, Pepe, Jota, Ghana.. Then ndio tumuwazie huyu Zaha.
Ana Quality kweli za kucheza United? Huyu OLe asije akatuletea wachezaji wakucheza legue 1 hukoSky Sports kwa sasa siwaamini sana, lakini ndio vyanzo tulivyonavyo..... Tutafanyaje sasa View attachment 1103633
Ana potential ya kuwa quality player, ila kwa sasa badoAna Quality kweli za kucheza United? Huyu OLe asije akatuletea wachezaji wakucheza legue 1 huko
Kucheza Epl sio tatizo kuna wachezaji wakicheza Average team kama Crystal palace ,Newcastle etc wanakuwa ni Fantastic kuliko wakiwa timu kubwa na ZAHA ni miongoni mwa hao wachezajZaha amecheza EPL,
Unataka tumlete Morata mpya aje ajifunze maisha mapya pale EPL?
Acha kutumia our players as an example our philosophy are not the sameAna potential ya kuwa quality player, ila kwa sasa bado
Mbona akina City wamemchukua Zichenko, mbona akina Robertson wa Liverpool tunawasifia
Na kuchukua huyo dogo haimaanishi hatutasajili proven players