United yetu inasikitisha sana.. Yaani hadi Arsenal inatuzidi upepo kwenye soko la ulajili.Yaani united ya wakina Cr7, Rooney 10, Berb09 , n.k
Leo tunahusishwa na Zaha ???
Eeeh mungu tusaidie
Hakushinikizwa ila alisoma mambo yanavyoendeshwa akaamua aondoke asuharibu heshima yake.Kwahy alishinikizwa? Dadavua
Zaha? Utoe £100M kwa ajili yake?Nicolas Pepe
Zaha
Daniel Hames
Hakeem Ziyech
Tukiwapata hawa vijana itafaa sana
Nimewaangalia sana, wana kitu kikubwa sana miguuni mwao!
Huyo Zlatani (35) unayemponda, ndio striker aliyefunga Magoli mengi pale United kuliko striker yoyote kwa msimu tangu aondoke Van Persie (29). Na hapo aliumia kabla ya msimu haujaishaZlatan 35 !,sijui kama mwalimu unategemea nini kwa mchezaji mzee wa kiwango hiki zaidi ya kuwazibia nafasi makinda.
Sanchez 29 kama kuna mchezaji majanga sijaona kama huyu,kwanza kaja kuharibu salary structure na sijaona anachokifanya zaidi ya kuanguka angua uwanjani na kulalamika kwa waamuzi.
Matic 29 alicheza mwaka 1 baada ya hapo hakuna kitu akiwa uwanjani ni kama team inacheza na wachezaji 10,yuko very slow hapa sasa ndio utajua umri ni suala muhimu sana.Kwa lugha rahisi Matic umri umemkamata kisawa sawa hana mchango wa maana katika team bora McTominay mara mia mbili.
Ziyech aliyasema hayo mwaka 2017, leo ni mwaka 2019Arsenal wako mbele kumhitaji Zaha.. kuna tetesi wako tayari kutoa wachezaji wawili + pesa ili wamchukue.
Hakim Ziyech pia amesema anapenda kucheza Arsenal na yuko tayari kuondoka pale ajax.
Kweli.. hiyo £100/80M kwa Zaha bora tukusanye hata watano ambao watacheza wanalia uwanjani kuliko huyu mhuni.Zaha? Utoe £100M kwa ajili yake?
Wakati kwa hiyo hela unapata wachezaji watatu wazuri?
Zaha ni star wa timu ndogo na sio wa United.
Zlatan msimu wa pili ni kama hakucheza (sidhani kama alianza hata mechi 5)Zlatan alicheza vizuri msimu mmoja tu,msimu uliofuta alichemsha vibaya sana,again umri hasa EPL si suala la kubeza.Ukitazama League ya Italy aina mchezo unaweza kuwa accomodate wachezaji wazee lakini si EPL.Naamini Man inatakiwa kutazama mipango ya muda mrefu kuanzia Mwl na Wachezaji naamini katika usajili wa makinda ndio suluhu ya matatizo yetu ya muda mrefu.
itazame Ajax tuliyokutana nayo fainali ilijikita zaidi katika makinda sisi tulikimbilia fainal product matokeo yake ndio haya tunashindwa kuingia top 4.Uwekezaji wa kina Pogba.......unatuumiza sana kuanzia fedha zilizotumika na baya zaidi tabia zake mbovu za kujiangalia yeye mwenyewe kuliko team ni mwendelezo wa mifano mibaya kwa wachezaji chipukizi.
Sijui hapa umetumia kigezo ganiUsajili wa Jose karibu wote haujatick sema katika hali ambayo waliikuta team ilikuwa lazima ichukue muda sana kuibadilisha.
Van Gaal aliwanunua.
1 Sergio Romero
2 Matteo Darmian
4 Daley Blind
5 Angel Dimaria
6 Memphis Depay
7Morgan shenerndalin
8 Luke shaw
9 Ander Herera
10 Radamel Falcao
11 Anthony Martial
Kati ya hao wote ni wachezaji wanne tu walionyesha angalau usajili umelipa.
Moyes aliwasajili hawa.
1King Fella
2 Mata
Angalau walionekana kuwa na maana hasa Mata msimu wa Van gaal
Mourinho aliwasajili hawa.
1 zlatan
2 mikhtarian
4 Lindelof
5 Bailey
6 Fred
7Pogba
8 Lee grant
9 Dalot
Katika list yote hii hakuna waliokaa vizuri kwenye squad hata chini ya Mourinho mwenyewe
Sawa.. Arsenal wako bize na Zaha lakini ikishindikana wanaweza kumvuta Ziyech sisi tumezubaa mno.Ziyech aliyasema hayo mwaka 2017, leo ni mwaka 2019
Mick aliwahi kusema anapenda Arsenal, akaanzia United
Kwa kipi alichokifanya Allegri, hizi shobo ndio zinatuponzaI think atatimuliwa before December
Waliharakisha sana kumsainisha permanent deal
Saa hizi Allegri angekuwa ametua Old Trafford
Halafu dogo anavyodeka kama kuna mama yake pale... Uingereza unatuvurugia timuRashford has 28 goals in FOUR SEASONS,
Just saying
Man United hawezi kosa hela ya kumleta Mbape, maana kitita pekee atakachokabidhiwa ni kati ya £200m na £250mUtamuuza Rashford + Lingard hukosi £100M unaongeza £60M unamleta Mbappe.
Allegri mara 100 na Benitez.. watu wanatishwa na JeeP kifuani.Kwa kipi alichokifanya Allegri, hizi shobo ndio zinatuponza
So far Ole anatupa mashaka, lakini ni mapema sana kum judge kwamba hana uwezo, hana wisdom na blaa blaa nyingineSasa unadhani Kocha gani atakayeuza wachezaji hao wote 3?
Mimi huwa si intervene mawazo yenu lakini ukweli ni Kwamba hao madogo (Rash, Ling na Mart) ni natural talented players ambao wanahitaji good coaching tu!
Bali kwasasa wanaonekana ni useless kwasababu system ya uchezaji wa timu hijawa suitable kwa wao.
Na vile vile timu nzima imekosa Morali jambo ambalo wenye vipaji na uwezo wanacheza kama Mrisho Ngassa.
Kiukweli hata kama Top Management (Ed na genge lake) lina matatizo kocha anatakiwa angolee kama kama Kila kitu kipo sawa na hakuna lolote linaloendelea.
Unay Emery anapewa Limited Budget ambayo haitozidi £100m lakini anaongea kwenye Media na Wachezaji kama Everything is alright.
Sasa hivyo ndiyo Kocha anavyotakiwa awe ili apandishe Moral ya Wachezaji.
Sasa Ole hana talent of Wisdom ya kupandisha psychology na Moral ya Wachezaji kwenye kupambana.
Hapo patafutwe kocha ambaye atacheza na Psychology za wachezaji ili afichue vipaji vilivyojificha vya kina Rash, Ling na Mart.
Zaha mkuu..Naona kabisa mnavyojipeleka kupigwa Pesa ndefu kwa ZANA
Upo sahihiUsajili wa pogba na Sanchez ulichangiwa zaidi na ambition ya Management kwa sababu ya kibiashara na sio target ya kocha kwa 100% ....wakat mwingine ni ngumu kumbishia boss wako, japo mambo yakiharibika ww ndo unakuwa responsible....
Ni kama ya Perez kumng'ang'ania James Rdriguez huku Anceloti hana mpango nae, mwisho wa siku mambo yakaenda vibaya Anceloti akafukuzwa kazi
Yah ZAHA mnaenda kupigwa tena zaidi ya £ 70 ml hahahahahahahahahZaha mkuu..