Nasikia city vs untd refa atakuwa webb
Ref' wa mechi hiyo siyo Webb, atakuwa A. Marriner (sijui kama jina nimelipatia).webb anatufaa old trafford but hiyo game itakua etihad stadium away from home webb hapendelei man utd.:glasses-nerdy:
Watani mko wapi? Hamuwezi kuwa serious bhana, shamra shamra zi wapi?
no one knows nini kitatokea..
hayoooo majini mekundu...bado kimoja...!